Kumpenda mdada wa JF ni shiidah

Kumpenda mdada wa JF ni shiidah

Wewe waulize wenzio kuna wali na ubwabwabwaa humu.
Mbona mnanitisha na mapema ? Wali na ubwabwa ndi vinyago gani tena ,yaani bado sijalijua jiji la JF dah !
 
Pengine hajaingia tu. Vuta subira. Ila wengine humu mna maringo sana dada zangu
 
Mimba yangu inatamani gari tena zile V8
Basi utakuwa una mapacha ,ila V8 sio nzuri kwa wenye mimba ,hio ukishajifungua ,nikishapajua unapokaa nitaipaki nje ufunguo nitakuwekea kwenye spare tyre.
 
kumbe kuna wanawake wengine wanatongoza wenyewe hivi ni ukame au?
 
kumbe kuna wanawake wengine wanatongoza wenyewe hivi ni ukame au?
Ngoja nikumegee siri ,unajua wanawake wa aina hii wana haya sana sana ,na pia wanakuwa wakali sana mara nyingi wanaenda kukusemea kuwa Mwiba mchinvi ,ila wa dizaini hii huwa wapole katika mazungumzo mara nyingi huwa wasikilizaji hawatii neno zaidi ya kutabasamu tu ,unaelewa kuwa too much talking is gold but ukimya unaweza kuwa silver ,nadhani umeifahamu huo msemo ,hivyo inawezekana kabisa dizaini za wadada wa aina hii akakutumia sms au akakuvizia uko peke yako na akatafuta chochote kile cha kuzungumza ili kuanzisha contact ila atapenda ziwe siri ,sijui wakoje bali ndivyo walivyo !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom