Wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni Mungu pekee!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,499
113,610
Wanabodi,

Leo kuna SMS nimetumiwa, niliposema humu kuhusu hiyo SMS imeleta kizaazaa na kutoleana maneno mabaya
hadi baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru Mungu. Kuwa kitendo cha kumkubali, kumsifu na kumpongeza mtu fulani kunahesabiwa, ni kumuabudu, kumtukuza na kumsujudia, kitu ambacho si kweli!.
Kwakuwa ww Paskali unamsujudia basi unaamini kila mtu anamsujudia kama ww. Kwa taarifa yako sisi wengine hata kuona tu hiyo sms kwenye simu zetu ilikuwa ni bonge la kero.

Ww ndio unamuabudu hadi kuona sms yake ni bonge la bahati. Sisi wengine wala hata akipita hapo pembeni hatumtetemekei kabisa.
Pongezi hizo ni za kumkubali kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka wenye kuleta matokeo chanya. Hivyo pongezi ni za kumpa moyo aendelee kufanya makubwa na sio kumuabudu, kumtukuza au kumsujudu.

Naendelea kusisitiza wa kuabudiwa, kutukuzwa na kusujudiwa ni mmoja tuu, "The One and Only God - Mungu Baba Pekee"

Hivyo nawaomba please
please, please, tusitake kumponza na huyu kama tulivyomponza yule kwa hizi lugha za machukizo.

Nawatakia sensa njemau tujitokeze kwa wingi kuhesabiwa!

Paskali.
 
Wanabodi,

Leo kuna SMS nimetumiwa imeleta maneno hadi baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru kuwa kitendo cha kumkubali, kumsifu na kumpongeza, kuhesabiwa ni kumuabudu, kumtukuza
na kumsujudu!, kitu ambacho sii kweli!, pongezi hizo ni za kumkubali kutokana na utendaji uliotukuka hivyo kumu encourage aendelee kufanya makubwa na sio kumuabudu, kumtukuza au kumsujudu!. Naendelea kusisitiza Wakuabudiwa, Kutukuzwa na Kusujudiwa ni Mmoja tuu, The One and Only God, Mungu Baba Pekee!.

Hivyo please tusitake kumponza na huyu kwa lugha za machukizo, kama tulivyomponza yule!.
Ninajaribu kukutetea lakini wapi naona unaendelea kujichafua mwenyewe khaaa...umekuwaje lakini?

Hizi nyuzi za kitoto waaachie akina johnthebaptist na uvccm washamba.

Pascal punguza hizi mada nyepesi sio size yako.
Kama uliteoeza kwa uzi ule ukashambuliwa busara ni kunyamaza tu
 
Wanabodi,

Leo kuna SMS nimetumiwa imeleta maneno hadi baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru kuwa kitendo cha kumkubali, kumsifu na kumpongeza, kuhesabiwa ni kumuabudu, kumtukuza na kumsujudu, kitu ambacho sii kweli.

Pongezi hizo ni za kumkubali kutokana na utendaji uliotukuka hivyo kumu encourage aendelee kufanya makubwa na sio kumuabudu, kumtukuza au kumsujudu.

Naendelea kusisitiza Wakuabudiwa, Kutukuzwa na Kusujudiwa ni Mmoja tuu, The One and Only God, Mungu Baba Pekee.

Hivyo please tusitake kumponza na huyu kwa lugha za machukizo, kama tulivyomponza yule.
Hilo na kumheshimu halina ubishi kwani lipo tu automatically.

Lakini kumkubali, kumsifu na kumpongeza yategemea na "output" ya uongozi wake na nini ameweka humo katika "input".

Utaeleweka ikiwa utaongelea kwa uzito wake hayo mambo matatu ukichambua lipi ni la kumkubali, kumsifu na kumpongeza huku pia ukitanabaisha ni yepi huwezi kumsifu, kumkubali na kumpongeza.

Hapo utakuwa umeipaisha sifa yako kubwa na uchambuzi makini.

Tuache unafiki tuwe wakweli tuwe wawazi.
 
Paskali unajua mitandao na teknolojia Ina tabia ya kuweka kumbukumbu muda mrefu sana, unataka kuja kuwaonesha watoto wako na wajukuu zako kitu gani aisee. Kwanini unachagua cheap popularity Paskali?

Achana na ujinga huu kaka. Utawapa wakati mgumu watoto wako mbele ya jamiii iliyostaarabika

Usiponzwe na machawa mengi yasiyotumia majina Yao kamili kwenye mitandao
 
Wanabodi,

Leo kuna SMS nimetumiwa imeleta maneno hadi baadhi ya watu humu kutoleana maneno ya kufuru kuwa kitendo cha kumkubali, kumsifu na kumpongeza, kuhesabiwa ni kumuabudu, kumtukuza na kumsujudu, kitu ambacho sii kweli.

Pongezi hizo ni za kumkubali kutokana na utendaji uliotukuka hivyo kumu encourage aendelee kufanya makubwa na sio kumuabudu, kumtukuza au kumsujudu.

Naendelea kusisitiza Wakuabudiwa, Kutukuzwa na Kusujudiwa ni Mmoja tuu, The One and Only God, Mungu Baba Pekee.

Hivyo please tusitake kumponza na huyu kwa lugha za machukizo, kama tulivyomponza yule.
Ye mwenyewe unayemsifia anajua amechemka ndio maana inafikia hatua analalamikia wapiga picha wanaficha raia kwenye mikutano yake.
 
Back
Top Bottom