Kumkosa Umpendaye Kwa dhati

super thinker

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
370
109
Nilimpenda sana,nikachukua muda mrefu kumwambia ukweli,nilipoenda nikakuta kuna aliyechukua muda mfupi kumchunguza na kumwambia ameshampata.......no way anaweza kujua ukweli ulio moyoni mwangu....ninachofurahi sasa ni kwamba nimetua mzigo uliokuwa moyoni lakini inaniuma sana kumkosa mrembo na ''decent girl'' huyu....kuzidi kuondoa machungu moyoni nimeamua ku''post'' kwa wadau kwamba nakupenda sana....ol th best:A S crown-1::A S crown-1:
 
Eh ndo ujifunze nxt time sio unamsoma mtu mwaka!Hawezi kukaa akikusubiria wakati hata hajui unaexist na sio kama wenzio hawamuoni!Pole lakini!
 
Pole sama mkuu. Labda sijaelewa umetua mzigo?? Maana yake nini?? Umeniacha at!!
 
Pole,its life....if she was meant for you ipo siku if not then you will meet someone you were meant for....keep up the faith and next time,usichukue muda sana.....at least onyesha interest huku ukiendelea mchunguza.....lol:laugh::laugh:
 
Siku hizi watu wanachunguza wamo humo humo ndani...
 
Nilimpenda sana,nikachukua muda mrefu kumwambia ukweli,nilipoenda nikakuta kuna aliyechukua muda mfupi kumchunguza na kumwambia ameshampata.......no way anaweza kujua ukweli ulio moyoni mwangu....ninachofurahi sasa ni kwamba nimetua mzigo uliokuwa moyoni lakini inaniuma sana kumkosa mrembo na ''decent girl'' huyu....kuzidi kuondoa machungu moyoni nimeamua ku''post'' kwa wadau kwamba nakupenda sana....ol th best:A S crown-1::A S crown-1:

Sasa hapa mkuu mhusika yupo humu humu na anajua ni wewe mwenye ID hii au?
 
Jamani kaka,siku hizi ukimpenda mtu unamwambia mapema usichukue muda sana. Pole sana ila kama alikuwa anakupenda akaona huna interest nae akaamua kumove on anaweza akarudi kwako
 
''decent girl'' huyu....kuzidi kuondoa machungu moyoni nimeamua ku''post'' kwa wadau kwamba nakupenda sana....ol th best:A S crown-1::A S crown-1:
Mkuu kwanza kabisa kwani anajua kwamba wewe ndio super thinker na yeye anajijua kwamba ndio:A S crown-1::A S crown-1:
Anyway ushauri move on, time is the best healer jaribu kumsahau na kutafuta wa kwako..., after all yeye anaye wake.
 
hahah somo umejifunza,chelewa chelewa utakuta mwana si wako na ngoja ngoja huumiza matumbo atii...
 
aiseeee....... Watu tunachunguzia ndani ukikuta koroma tupa kuleeeeeee...
 
Ha ha haaaa, mkuu umenikumbasha story ya jembe zamani zile '' Jamaa kaenda kuazima jembe kafika badala ya kusema shida kaanza kutia story, baada ya muda katokea jamaa mwingine yeye direct kafika na kuomba jembe na kupewa.... jamaa wa kwanza kaanza kulalamika kuwa aliwahi kufika, ila tatizo hakusema kulichokuwa kimemleta pale!!!!! Lakini pole sana mkuuu :laugh:
 
Huenda haikuwa bahati yako

Endelea kumwomba Mungu nawe utapata utakayempenda na atakayekupenda pia.

Kila la kheri
 
Pole,its life....if she was meant for you ipo siku if not then you will meet someone you were meant for....keep up the faith and next time,usichukue muda sana.....at least onyesha interest huku ukiendelea mchunguza.....lol:laugh::laugh:

Sure, vumilia ipo siku mlaji atachoka, ataacha makombo na wewe utapata kula...
Oooooooooooooops, nilisahau: Halua haina makombo...........
 
nakupata kiukweli coz i had the same problem. la muhimu sasa you just let her go coz may she was not meant for you. hilo ndilo unapaswa kufanya kwa sasa.
 
Time Management - ina apply sio kwenye kazi tu hata kwenye mapenzi - na kama hauko makini - unaweza kuchelewa hata siku ya "ndoa"ukakuta Padri kangojea weeeeeeeee - mwisho kafunga ibada - be careful
 
Time Management - ina apply sio kwenye kazi tu hata kwenye mapenzi - na kama hauko makini - unaweza kuchelewa hata siku ya "ndoa"ukakuta Padri kangojea weeeeeeeee - mwisho kafunga ibada - be careful
Siku ya ndoa huwa ina vituko
 
Jamani ngoja niwape hadith ya kweli inayoendana na huyu ndugu:
Kuna mkaka na mdada mmoja walikuwa marafiki wa muda mrefu sana; na ikatokea walikuwa wanatoka sehemu moja (yaani kabila moja), so wakawa wanaitana kaka na dada. Kumbe moyoni wa mkaka akawa amewaza kuwa huyu anafaa kuwa mke wangu, lakini hakusema. Yeye akafikiri na mdada naye anawaza hivyo. Siku ya siku, yule mdada kwa furaha kabisa akamwambia yule kaka yake, nina very good news to tell you: mkaka akatega masikio vizuri. mdada akasema, mimi mwenzio nimepata mchumba, yaani wewe ni kwanza kukuambia kaka yangu!!!. Yule mkaka akapigwa butwaa!!! akamuuliza, umepata mchumba??!!! na mimi je???!!! Yule dada akabaki anashangaa, mbona hujawahi kusema jamani???!!! So, it was too late for him! Aliumia sana yule mkaka, na sina taarifa za hivi karibuni kama alikuja kuoa!!! Maana aliona hawezi kupata mwingine kama yule mdada, but nani alaumiwe???!!
So ushauri kwa wakaka, kwa mila zetu wakaka ndo wanaanza kusema, so please kama umempenda mdada mwambie; usiwaze moyoni ukafikiri na mwenzio naye anawaza the same.
Good day....:)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom