Kumkosa Umpendaye Kwa dhati

Jamani ngoja niwape hadith ya kweli inayoendana na huyu ndugu:
Kuna mkaka na mdada mmoja walikuwa marafiki wa muda mrefu sana; na ikatokea walikuwa wanatoka sehemu moja (yaani kabila moja), so wakawa wanaitana kaka na dada. Kumbe moyoni wa mkaka akawa amewaza kuwa huyu anafaa kuwa mke wangu, lakini hakusema. Yeye akafikiri na mdada naye anawaza hivyo. Siku ya siku, yule mdada kwa furaha kabisa akamwambia yule kaka yake, nina very good news to tell you: mkaka akatega masikio vizuri. mdada akasema, mimi mwenzio nimepata mchumba, yaani wewe ni kwanza kukuambia kaka yangu!!!. Yule mkaka akapigwa butwaa!!! akamuuliza, umepata mchumba??!!! na mimi je???!!! Yule dada akabaki anashangaa, mbona hujawahi kusema jamani???!!! So, it was too late for him! Aliumia sana yule mkaka, na sina taarifa za hivi karibuni kama alikuja kuoa!!! Maana aliona hawezi kupata mwingine kama yule mdada, but nani alaumiwe???!!
So ushauri kwa wakaka, kwa mila zetu wakaka ndo wanaanza kusema, so please kama umempenda mdada mwambie; usiwaze moyoni ukafikiri na mwenzio naye anawaza the same.
Good day....:)
Too bad for him atakuwa alikuwa na hali mbaya sana
 
Right time!!
Unamchunguza mtu mwaka mzima, unachunguza nini?
Mbaya zaidi hata anayechunguzwa hajui kama anachunguzwa.
Mmmmh pole kaka angu, lakini umejifunza kutokana na makosa.
 
Jamani ngoja niwape hadith ya kweli inayoendana na huyu ndugu:
Kuna mkaka na mdada mmoja walikuwa marafiki wa muda mrefu sana; na ikatokea walikuwa wanatoka sehemu moja (yaani kabila moja), so wakawa wanaitana kaka na dada. Kumbe moyoni wa mkaka akawa amewaza kuwa huyu anafaa kuwa mke wangu, lakini hakusema. Yeye akafikiri na mdada naye anawaza hivyo. Siku ya siku, yule mdada kwa furaha kabisa akamwambia yule kaka yake, nina very good news to tell you: mkaka akatega masikio vizuri. mdada akasema, mimi mwenzio nimepata mchumba, yaani wewe ni kwanza kukuambia kaka yangu!!!. Yule mkaka akapigwa butwaa!!! akamuuliza, umepata mchumba??!!! na mimi je???!!! Yule dada akabaki anashangaa, mbona hujawahi kusema jamani???!!! So, it was too late for him! Aliumia sana yule mkaka, na sina taarifa za hivi karibuni kama alikuja kuoa!!! Maana aliona hawezi kupata mwingine kama yule mdada, but nani alaumiwe???!!
So ushauri kwa wakaka, kwa mila zetu wakaka ndo wanaanza kusema, so please kama umempenda mdada mwambie; usiwaze moyoni ukafikiri na mwenzio naye anawaza the same.
Good day....:)

hadithi hii inatufundisha tusiwe ma-super thinker kama huyo kaka. Asante sana, Karen_Happuch.Am not :thinking: thinking any more.............
 
Pole sana mungu atakujalia utapata wa kufanana na wewe ambae utampenda, kuna dada mmoja alikuwa anapenda kuongea "mtu haoi wala haolewi na mme/mke wa mtu" yaani alimaanisha mtu kama hujapangiwa na mungu awe mwenza wako huwezi force sababu tangu anazaliwa mungu alishampangia wa kufa nae. na huwezi jua mungu kakuepushia nini kwa hiyo kaa chini upange karata zako upya utakuwa happy tena tu.
 
Nilimpenda sana,nikachukua muda mrefu kumwambia ukweli,nilipoenda nikakuta kuna aliyechukua muda mfupi kumchunguza na kumwambia ameshampata.......no way anaweza kujua ukweli ulio moyoni mwangu....ninachofurahi sasa ni kwamba nimetua mzigo uliokuwa moyoni lakini inaniuma sana kumkosa mrembo na ''decent girl'' huyu....kuzidi kuondoa machungu moyoni nimeamua ku''post'' kwa wadau kwamba nakupenda sana....ol th best:A S crown-1::A S crown-1:

Pole sana!

YouTube - LIONEL RICHIE - You Are

Similar Discussions

Back
Top Bottom