Na kweli tecno connecting people hahaha- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!
- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!
- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!
- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.
- Muziki wake utadhani una suboufer!
- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!
- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!
Hongera TECNO.
Hahahaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂Unakutana na demu mkali, unampa simu yako ya tecno anasave namba yake, unafika nyumbani huikuti ile namba. Moyo unakuuma unaanguka chini unakufa.
😂😂😂Unakutana na demu mkali, unampa simu yako ya tecno anasave namba yake, unafika nyumbani huikuti ile namba. Moyo unakuuma unaanguka chini unakufa.
hutaki? basi tufanye ni SiroTVEeenh CCTV tena
Itel ni simu ya kutumia ukiwa ndani ya chandarua na sio mtaaniKuna jamaa yangu mmoja nilimkopesha pesa sasa akashindwa kulipa akasema anipe smartphone yake ya itel kufidia deni, niliikataa japo muda huo nilikuwa natumia kitochi maana simu yangu kubwa ilitumbukia baharini. Itel sijui ni nini kile, ila cha msingi mawasiliano tu tusiseme mengi maana life linapindukaga unakosa hata hiyo itel.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hutaki? basi tufanye ni SiroTV
DuhhhhBora nitumie kitochi kuliko tecno [emoji1][emoji1][emoji1]
shusha chandarua ulale Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeamua kunivunja mbavu
Bora nitumie kitochi kuliko tecno [emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji3][emoji3]Watumiaji wa i phone wanajiona washafika mbinguni