Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

Kumiliki simu ya TECNO kuna raha zake bwana!

- Mara una type message characters zinajiongeza zenyewe!

- Unaongea mtu, ukikata simu haikati mpaka ung'oe betrii!

- Unafungua screen, inagoma kufunguka hadi uzime uwashe!

- Unasave namba ya mtu, siku unakuta mara imepotea.

- Muziki wake utadhani una suboufer!

- Mafundi wake na spare zake vimejaa kedekede kila kona!

- Zinatuunganisha haswa, kila unayekutana nae anayo!

Hongera TECNO.
Ndege ikipita angani WIFI inakuandikia “one item detected”
 
Me na mawazo ndugu zanguni kwanini kwenye hu uzi tusingeweka picha ya kila mtu ikionesha aina za cm kwa wale tunaotumia mtk tujuane afu tuwe na mikakati mipya ya kukosoana kutokana na cm maana unakuta mtu anaponda afu na yeye anatumia tecno

Kama kuna mshkaj wangu mmoja nipo nae kitaa ni member wa jf ila me hanijui na kuna siku nimebahatika kushika cm yake nikajua user name yake ana tecno m3 afu anakuja apa anatamba ana samsang sijui iphon
 
Yanguu hii hapa...
Screenshot_20181020-230012.png
 
Kwa maelezo ya mtoa Mada. Ni kwamba hajui matumizi ya cm. Me natumia tecno na sijawahi kutana na tatizo hata moja kwenye cm.
uwezo wako wa kutumia cm ni mdogo.
nahisi hujamwelewa mtoa mada

anaona raha na anafurahi kutumia tecno kwa jinsi ilivyo na mambo ya kipekee kama aliyoyaorodhesha hapo juu.

tusipanic tecno sio simu mbaya kikubwa tunawasiliana
 
Back
Top Bottom