MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,553
- 41,472
miss u tooAnko miss u
yaani hapa napata tabu
miss u tooAnko miss u
hiyo sio torch ni CCTVHahahah
Hiyo ya kuwaka torch nimemuona mtu jana anaongea na simu torch ipo on
hiyo sio torch ni CCTV
miss u too
yaani hapa napata tabu
Kaká upoooMara ya mwisho kutumia tecno mwaka 2014. Niliachana nayo rasmi baada ya usumbufu kwenye phone memory. Nilifuta kila kitu (app, videos + music) na bado memory ipo full.
Kuna jamaa yangu mmoja nilimkopesha pesa sasa akashindwa kulipa akasema anipe smartphone yake ya itel kufidia deni, niliikataa japo muda huo nilikuwa natumia kitochi maana simu yangu kubwa ilitumbukia baharini. Itel sijui ni nini kile, ila cha msingi mawasiliano tu tusiseme mengi maana life linapindukaga unakosa hata hiyo itel.achana na TEKNO mtu wa kumwonea huruma ni yule anayetumia ITEL
hawa watu wanahitaji msaada wa maombi
Nipo. Nimekumiss tu ShunieKaká upooo
naona umekuja kunitangaza![]()
Me too. Thank youJamani mm zaidi nimefurahi kukuona
Marahaba shunieKuna rafiki yangu amenipigia simu ananiambia shunie samahani hii simu imejipiga yaani nikiwa naongea na mtu kwenye simu inajipiga simu nyingine
Shikamooni wenye tecno
Marahaba shunie







Hehehee!!! Mtuvumilie tu watumiaji wa tecno
Halafu sasa simu yake imeingia napokea nasikia music tu nahisi yupo bar yaan simu imejipiga bila yeye kujua nimesikilizia kama dk 1 haongei nimejua tu simu imejipiga
