[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani umenikumbusha jana nilikwenda kwenye Pub flani na hawanijui nikanywa hela ikakata..nikanywa tena...mwisho nikamwambia mwenye Pub nitakucheki kesho...na gari nilikuwa nimepaki mlangoni kabisa..hakunibishia
Haaaahaaaa...loltatizo bila gari ili uaminike ni mpaka uongee sana...
Haaahaaa...comments za humu balaayani ata ukiwa dereva wa lile gari la kubeba watu waliokufa. bado utaheshimika tuu.
Ha ha haaaaaa Mkuu wala mm si muongeaji sana.Uwezo tu wa kujenga hojatatizo bila gari ili uaminike ni mpaka uongee sana...
Gari mke wa kwanza[emoji23] [emoji23] [emoji23]nna jirani yangu gar inatembea tar 28 hari tar 1 au 2 inapaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na tunaishi nnje ya mji huku alafu yeye kila siku lazima aende town namuoneaje huruma!! natamani kumshaur aiuze annue ki paso maana anateseka aisee usafiri wa huku ful kuunga kuunga.
Fact ila raha asee...mi nikiwa na stress zangu linanirudisha mudiNingekuwa sijawahi miliki gari, ningekuwa na nyumba tatu Dar. Gari inakula pesa we acha. Kwa mwezi ukiweka wese la laki tatu ni sawa na pesa ya tofali mia tatu. Kwa mwaka je?
Sana asee...nimecheka hataree maana ndo zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]ofisi za serikali unakaa kimachalemachale
Gari sio kipole pole, lazma uwe na kipato cha uhakika.nna jirani yangu gar inatembea tar 28 hari tar 1 au 2 inapaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na tunaishi nnje ya mji huku alafu yeye kila siku lazima aende town namuoneaje huruma!! natamani kumshaur aiuze annue ki paso maana anateseka aisee usafiri wa huku ful kuunga kuunga.
Fact ila raha asee...mi nikiwa na stress zangu linanirudisha mudi
Kuzurura hasa nje ya mji huku nimefungulia mziki laini....daah nakuwa vizuri sanahow mamy!
Wachache watakuelewa, wazee wa busara wanakwambia fanya yote gari liwe mwisho. Huwezi kununua luxury kwa mkopo wa benki. Ni hasara juu ya hasara tu!Ningekuwa sijawahi miliki gari, ningekuwa na nyumba tatu Dar. Gari inakula pesa we acha. Kwa mwezi ukiweka wese la laki tatu ni sawa na pesa ya tofali mia tatu. Kwa mwaka je?
Kama una gari na unaishi nje ya mji kwa mji kama Dar lazima likufilisi,ila kama unaishi katikati ya mji au mikoani maisha yanakuwa rahisi sana,na gari huwezi kuliona mzigo,just imagine unatembea km 2 au 3 umeshafika ofisi...Ningekuwa sijawahi miliki gari, ningekuwa na nyumba tatu Dar. Gari inakula pesa we acha. Kwa mwezi ukiweka wese la laki tatu ni sawa na pesa ya tofali mia tatu. Kwa mwaka je?
Kuzurura hasa nje ya mji huku nimefungulia mziki laini....daah nakuwa vizuri sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaan napataga raha ya ajabu hata teja hafikiihahahaha...kumbe!..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaaan napataga raha ya ajabu hata teja hafikii
Yeah...mara nyingi naenda kwa mashost, friends, hivooobut kunakuwa na sehem unaenda..si ndio!sidhan kama unachoropoka tu hyooo njia ya .puguπ mm natafuta kampan niende kula mishikaki ya figo mbele ya mzumbe.....mnaenda mkiwa high....mnakula mziki hatari
Kwa maisha ya sasa mahitaji ni nyumba,gari,familia (mke na watoto) usitake kupunguza kitu hata kimoja hapo...
Soma ulichoandika ujione ulivyo mjingaGari ni Uchawi wa kizungu,mtu anayemiliki passo halafu hana nyumba na mtu anayemiliki ghorofa moja halafu hana gari,mtaani anaheshimika mwenye passo ππππππ.