Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,684
😂 😂 😂 ,ningekuwa mtumishi wa ummma ningefanya hivyo pia.Nasajili kisha naihifadhi tu na kamwe haionji muda wa maongezi.Nitasajili, nakuitunza kwenye mkebe.
Hakuna kitu kama hicho labda US airline zinatoa punguzo kwa USAD staff.Hajaelezea vizuri. Ni kama hiyo route kuna US based airline na hela inayolipa hiyo ticket ni hela ya US govt
Mwache afungwe mota tu aje kupiga marktime na graduates.Acha kumdanganya mwenzio kazi ni ngumu sana kuzipata nowdays.
Bado hakuna ulichosaidia[emoji23][emoji23]Ukitaka kuwakomesha....unasajili unaitumia kuanzia saa 1:30 asb - 9:30 alasiri. Baada ya hapo unalizima li line lao unaendelea na line zako zingine
mwezi wa 6 naskia wote wameambiwa wakapange nyumba kwa NHC, Rais akikupigia simu kama haupoTTCL anakutoa nafasi yako.Maumivu ya kichwa huanza taratibu....ushahidi huo hapoView attachment 1111675View attachment 1111676
sasa ukishatumia siku nzima JPM si anakuwa amefanikiwa?Bado hakuna ulichosaidia[emoji23][emoji23]
Tukubali tu kwamba this time tumekanyaga ulimbo haina haja ya kuruka ruka
Kwamba wewe unajitoa hauhusiki kwenye kuchagua viongozi?sasa ukishatumia siku nzima JPM si anakuwa amefanikiwa?
na bado mpaka mjue kufanya uchaguzi wa viongozi vizuri
hao wa nje wakipenda kutumia ya kwao kuliko vya nje mtauza nini? acha ubinafsi na utapia mlo wa akili, duania ni free market, unaleta hadhidhi za protectionism, haifanikiwi hata siku moja, kuna baraza la ushindani, ni kosa kulazimisha watu watumie bidhaa fulani na kuacha nyingine, kwahiyo wiki ijayo watumishi wote wataambiwa waangalie TBC na vingamuzi vya star times, baada ya mwezi watumishi wote wanaambiwa wahamie nyumba za NHC wakapange huko, then wataambiwa hata kuoa waoane kwanza wao kwa wao, idiotKwamba wewe unajitoa hauhusiki kwenye kuchagua viongozi?
Hili la TTCL sio la Magufuli, hili ni suala la nchi kupenda kutumia vyakwetu kuliko vya nje.
Mi sijaona kosa hapo. (Ni mtazamo wangu)
Hii inafanya kazi kama unalipiwa kwa hela za US govt ila kama unajilipia toka other sources sio audit query. Sasa hizo line watatupa na vocha? Jpm alitaka wale wanaolipiwa hela za mawasiliano ndo wawe na laini za ttcl
Kubali mawazo yaliyo tofauti na mawazo yako.hao wa nje wakipenda kutumia ya kwao kuliko vya nje mtauza nini? acha ubinafsi na utapia mlo wa akili, duania ni free market, unaleta hadhidhi za protectionism, haifanikiwi hata siku moja, kuna baraza la ushindani, ni kosa kulazimisha watu watumie bidhaa fulani na kuacha nyingine, kwahiyo wiki ijayo watumishi wote wataambiwa waangalie TBC na vingamuzi vya star times, baada ya mwezi watumishi wote wanaambiwa wahamie nyumba za NHC wakapange huko, then wataambiwa hata kuoa waoane kwanza wao kwa wao, idiot
Mambo yakoje TANESCO (eleza kwa kifupi)Tatizo liko wapi hapo? Kama tuna nia ya kweli ya Kuliinua Shirika letu la Simu na Kuliwezesha na Kulipa Hadhi yake kuna tatizo gani Wateja wake wengi wakiwa ni Watumishi wa Serikali ambao wanaweza wakawa wanazitumia hizo ' Line ' hasa kwa Shughuli zao za Mawasiliano ili mwisho wa Siku gharama zirudi huko huko Serikalini na hizo Pesa zitumike katika Kuliboresha zaidi Shirika na Faida yake ambayo baadae hutolewa kuwa ' Gawio ' Serikali Kuu iweze Kutumika katika Kufanya mambo mengine ya Kimaendeleo kwa nchi yetu hii? Hivi Watu wengine huko Shuleni au Vyuo Vikuu mlienda Kusoma kweli au Kujifunza tu namna ya Kuvuka Barabara na Kutawaza Maliwatoni?
Kuoa wataambiwa waanze chato, wakiisha ndio waoane themselves!!hao wa nje wakipenda kutumia ya kwao kuliko vya nje mtauza nini? acha ubinafsi na utapia mlo wa akili, duania ni free market, unaleta hadhidhi za protectionism, haifanikiwi hata siku moja, kuna baraza la ushindani, ni kosa kulazimisha watu watumie bidhaa fulani na kuacha nyingine, kwahiyo wiki ijayo watumishi wote wataambiwa waangalie TBC na vingamuzi vya star times, baada ya mwezi watumishi wote wanaambiwa wahamie nyumba za NHC wakapange huko, then wataambiwa hata kuoa waoane kwanza wao kwa wao, idiot
Mwache afungwe mota tu aje kupiga marktime na graduates.
Hakuna mtu asiyependa vya kwake. Tatizo ni serikali kulazimisha watu watumie TTCL badala ya TTCL kushawisi watu wazitumie huduma za TTCL. Kwa serikali kulazimisha watu itawafanya TTCL wasione haja ya kubiresha huduma zao wakitegemea watumshi watatumia tuu kwalazima. Lakini pia mashirika binafsi yataweza kufilisika tukakosa vyote kodi na huduma ambazo TTCL haiwezi kuzitoaKwamba wewe unajitoa hauhusiki kwenye kuchagua viongozi?
Hili la TTCL sio la Magufuli, hili ni suala la nchi kupenda kutumia vyakwetu kuliko vya nje.
Mi sijaona kosa hapo. (Ni mtazamo wangu)
Uko sahihi mkuu.Hakuna mtu asiyependa vya kwake. Tatizo ni serikali kulazimisha watu watumie TTCL badala ya TTCL kushawisi watu wazitumie huduma za TTCL. Kwa serikali kulazimisha watu itawafanya TTCL wasione haja ya kubiresha huduma zao wakitegemea watumshi watatumia tuu kwalazima. Lakini pia mashirika binafsi yataweza kufilisika tukakosa vyote kodi na huduma ambazo TTCL haiwezi kuzitoa