Kumdhalilisha Mpenzi/Mke/Mme

Kumdhalilisha Mpenzi/Mke/Mme

Mkuu asante kwa hili uliloweka jamvini....

Aisee kuna kitu huwa inanikera sana.....
Pale wanandoa wanapotofautiana hadharani....kwenye mambo ya msingi!
Kuna wengine hufikia hata kutukanana ama kupigana......
thanks buddy, inabidi tuyajadili haya ili tuboreshe quality of life
 
Hahahaha.... hii njemba inaingia humu? Inauma sana aisee.

Hivi dude? Unaweza kumdhibiti mwanadamu? Kabla ya mobile phones kuingia watu walikuwa hawamegeani? This dude of yours is the CRAPIEST...Tupa kule ....... trash !
sina hakika ila JF is the home of great thinkers na jamaa huwa anajiamini kama mtu wa maana

kwa siku hizi JF ni zaidi ya magazeti, kila mtanzania mwenye access ya mtandao huwa anapita humu
 
Sio tu udhalilishaji yaani ni ukandamizaji hasa.. I've been there.. Jamani usiombe kupata mtu wa aina hiyo!!!
Pole zake , na wengine waliomo katika jela hiyo! Na yeye simu zake ampe mkewe ashike nusu siku tu !
 
dah uyo dada anashida na uyo bwana...AKYANAN NAKWAMBIA MIMI ANIFANYIE IVO..?atanifanya nianze kuwakubali ao wez anaowaota daily
'just kumwonyesha kwamba i can make t wthout u knowng...na siku akitaka kunipa izo cm ntamwambia apana szihitaj ili niendeleze libeneke cz ata nikichelewa ataweza kunambia rud..asi sina cm
 
Wajameni... Leo naomba tusaidiane kujadili jinsi tunavyowadhalilisha wapenzi wetu in the name of love and protection

Kuna rafiki yangu ana kaugonjwa kabaya sana ka kumnyang'anya mkewe simu na kukaa nazo hata siku mbili kusubiria nani atampigia mkewe... i tried to ask him kuacha tabia hiyo kwani inamweka mwanamke kwenye hisia za kudhalilishwa na kutoaminiwa na pia mke anaweza sasa akaanza kufanya siyodhani simply because jamaa ndicho alichonacho kichwani!!

Sipendi hii tabia na nina imani wengi hamuipendi

please pals, lets not do this aisee

Simply huyo mwanamume ni kilaza (kiazi). Hivi inahitaji simu kufanya infii??? Kwani kabla ya simu watu walikuwa wanafanyaje?

Ina maana huyo mama haendi kazini, sokoni saloon etc? Duuuh...jamaa amefikia level ya juuu sana ya kutojiamini, basi ategeneze cage amweke mkewe na kutembea naye kama njiwa pori!!
 
Simu zimekuwa sababu ya ugomvi kwenye ndoa nyingi. Ni vizuri mkawekeana mipaka mapema.
watu wengi pia huwa tunakosea, kama wewe unapenda kushika simu yake, naye lazima atataka kushika simu yako. Kaa mbali na simu ya mpenzi wako naye naamini atakaa mbali na simu yako
 
................just another form of humiliation for a woman...
 
Aisee........

Huyo jamaa ana matatizo,tena makubwa sana...Anasumbuliwa na tatizo la Upungufu wa Uaminifu katika Mapenzi......Wivu wa kijinga..

Hii ni mbaya sana,inaweza ikapelekea/ikamchochea mkewe kufanya kweli......

Kwangu mimi simu yangu ni yangu na ya mama Kabula(mrs) ni ya kwake,hakuna kitu kizuri kama privacy kwenye simu(na si mambo mengine ya kindoa).......Kama mke si mwaminifu si mwaminifu tu,kuna mbinu nyingi kweli za kucheat,so kumnyang'anya simu haisaidii zaidi ya kumchochea afanye vitendo hivyo.....Huyo jamaa aache mambo yake hayo,asitke kutudhalilisha walume bure.....

Mke mkeo tu.........Haibwi.

Bala.
 
Mwambie rafiki yako ameamua kwa makusudi kumlazimisha mke wake kutembea nje ya ndoa yao!

Kuna rafiki yangu alikuwa na tabia kama hiyo. Mke wake akaenda kwenye kampuni ya simu akawaambia simu yake imeibiwa na ikawa "blocked" wala hakutaka ku-renew namba bali akachukua line nyingine. Huyo mwanamke mpaka leo hamiliki simu na wala hataki kuwa na simu. BUT. Imemuwia rahisi kufanya anachotaka once mume wake anapokuwa hayupo - she is not traceable! Mume akisafiri, mke anaendelea na mambo yake, na kwa sababu hana simu mume awezi kuulizia ulikuwa wapi?
 
Simply huyo mwanamume ni kilaza (kiazi). Hivi inahitaji simu kufanya infii??? Kwani kabla ya simu watu walikuwa wanafanyaje?

Ina maana huyo mama haendi kazini, sokoni saloon etc? Duuuh...jamaa amefikia level ya juuu sana ya kutojiamini, basi ategeneze cage amweke mkewe na kutembea naye kama njiwa pori!!
duh... hiyo sasa itakua ni unyama kabisa

but with his mind, siku zinavyozidi kwenda anaweza akaishia huko
 
Watu wa dizaini hyo ndio wanaibiwa bila wao kujua,mwambie aache mara moja hyo tabia siyo nzuri,na asipoangalia hatakuja kufa na presha.
 
Aisee........

Huyo jamaa ana matatizo,tena makubwa sana...Anasumbuliwa na tatizo la Upungufu wa Uaminifu katika Mapenzi......Wivu wa kijinga..

Hii ni mbaya sana,inaweza ikapelekea/ikamchochea mkewe kufanya kweli......

Kwangu mimi simu yangu ni yangu na ya mama Kabula(mrs) ni ya kwake,hakuna kitu kizuri kama privacy kwenye simu(na si mambo mengine ya kindoa).......Kama mke si mwaminifu si mwaminifu tu,kuna mbinu nyingi kweli za kucheat,so kumnyang'anya simu haisaidii zaidi ya kumchochea afanye vitendo hivyo.....Huyo jamaa aache mambo yake hayo,asitke kutudhalilisha walume bure.....

Mke mkeo tu.........Haibwi.

Bala.

Kweli mkuu...Kwa ufupi anajaribu kufupisha maisha yake....Kwani akijua au kuhisi kwamba mke wake kabanjuliwa pamoja na kuficha simu zake kwenye mto lazima pressure itazido 180/140.....Na hapo story itabadilika...si ajabu kuanza mambo ya R.I.P!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom