Kumdhalilisha Mpenzi/Mke/Mme

Wanaukumbi

nimefurahi sana kwamba hii tabia ni mbaya... na nimependa sana wakak tumeua na wadada mmeua....

kama hayupo humu, ntatatafuta namna ya kumfanya aipate hii link na akome!!
 
Wanaukumbi

nimefurahi sana kwamba hii tabia ni mbaya... na nimependa sana wakak tumeua na wadada mmeua....

kama hayupo humu, ntatatafuta namna ya kumfanya aipate hii link na akome!!

Mkuu usitafune maneno...Mweleze kuwa, unanimous decision ya G/thinkers ni kwamba huyo kaka ni lofa, kiazi, kilaza ......an idiot....! Mtu hachungwi hata kwa kumfugia mbwa...Ajichunge mwenyewe na aachane na mtoto wa mwenzie...Kama hamuamini amwache arudi sokoni watu wengine waendelee!!

Anajidhalilisha sana tena sana!
 
MTM.........this is very interesting pains!! yaani huyu jamaa yako dah hata sijui nianzie wapi.....najiuliza
1. Je alishawahimfumania mkewe au kuona dalili ya ukosefu wa uaminifu?
2. Kama hajawahi ilikuwaje akaoa mke asiyemwamini?
3. Nina wasiwasi kuwa yeye ndiye mchafu wa tabia na anajua kabisa namna wake za watu wanaotoka nje ya ndoa zao na pengine naye anahusika so anahisi kuwa na mkewe naye anafanya ayafanyayo yeye!!

madam, ukosefu wa uaminifu kwa mwenzako unaweza kujitokeza mbele ya safari..........................
wakati huo treni ndo lishashika kasi mbaya.
 
Wajameni... Leo naomba tusaidiane kujadili jinsi tunavyowadhalilisha wapenzi wetu in the name of love and protection

Kuna rafiki yangu ana kaugonjwa kabaya sana ka kumnyang'anya mkewe simu na kukaa nazo hata siku mbili kusubiria nani atampigia mkewe... i tried to ask him kuacha tabia hiyo kwani inamweka mwanamke kwenye hisia za kudhalilishwa na kutoaminiwa na pia mke anaweza sasa akaanza kufanya siyodhani simply because jamaa ndicho alichonacho kichwani!!

Sipendi hii tabia na nina imani wengi hamuipendi

please pals, lets not do this aisee

kila nikitaka kutoa THANK YOU nashindwa naoma msada.
 
Naleta mashitaka kwako Baba Paroko nisaidiea ..ni week ya tatu sasa ...teteteteth
Huyu mwanaume hajiamini ndo ndo maana anshindwa kumwamini mkewe pia
endelee kumpa ushauri nasaha aachane na hiki kitabia kibovu

BAK naomba unitafutie wimbo wa Baba Paroko
 
Umeona FL1,

Hapo hakuna mwanamume tena...Kuna sanamu fulani tu linaltembea na kupumua!
 
Nimeona Babu DC ..huyu mwanaume mwenzenu ana matatizo makubwa ..Inabidi MTM amsaidie kutatua

FL1...Naoma ututake ladhi haraka kabla hatujachukuwa hatua....Huyo hawezi kuwa mwanamume mwenzetu...Atakuwa tu yuko wa aina yake! Si wa kiume wala jinsia nyingine!

Siwezi kuamini kitu hapa....!! Nasubiri apology tu na si kingine!
 
Samahani babu sitaki kukosa radhi mchana kweupe ..lol
Huyu kaka wa kiume atakuwa na matatizo
 
huo ni ubeberu kumnyanganya wife simu na kukaa nayo kwa siku kadhaa. ushauri wangu: Akimnyanganya simu zake asikubali tena kuzipokea, amwachie forever, au milele.
 
siwezi kumsaidia, i tried kipindi hicho.... labda apelekwe hospitali kwa kuwa na msongo au kutokujiamini
 
Sasa wapo wadada pia wana tabia hizo....
Unapigiwa simu anaidaka simu yako utasema yake.....

Na akisikia sauti ya kike anaanza jibu jeuri bila kujua ni nani....

Kama ni bosi wako waweza poteza kazi hivi hivi
 
yeah, wapo pia wanawake wanaonusa hadi nguo za ndani za wanaume wakirudi nyumbani, wanakagua simu na hata kuzichukua for some days

haya yote ni kudhalilishana tu
 
Jamani msimshangae sana huyo jamaa, usikute huyo mke wake alimtongozea kwenye simu kirahisi rahisi na akampata, so anadhani akimwachia na hiyo simu jamaa wanamwibia kwa njia hiyo hiyo, so anajihami mwenzenu. Si mnajua sometimes the past highlights the future!!
 
Wajameni... Leo naomba tusaidiane kujadili jinsi tunavyowadhalilisha wapenzi wetu in the name of love and protection

Kuna rafiki yangu ana kaugonjwa kabaya sana ka kumnyang'anya mkewe simu na kukaa nazo hata siku mbili kusubiria nani atampigia mkewe... i tried to ask him kuacha tabia hiyo kwani inamweka mwanamke kwenye hisia za kudhalilishwa na kutoaminiwa na pia mke anaweza sasa akaanza kufanya siyodhani simply because jamaa ndicho alichonacho kichwani!!

Sipendi hii tabia na nina imani wengi hamuipendi

please pals, lets not do this aisee

...mnh!,....MTM badala ya kumshangaa besti wako, tafadhali haraka iwezekanavyo tafuteni mbinu za kumpeleka akaonane na psychiatrist (mtaalamu wa magonjwa ya akili!) wamfanyie evaluation...hiyo ni schizophenia symptoms zilizotimia! Anawehuka taratibu huyo.

Msaidieni haraka iwezekanavyo...it's not a laughing matter jamani...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom