TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 24,902
- 11,292
- Thread starter
- #41
well said bro....Aisee........
Huyo jamaa ana matatizo,tena makubwa sana...Anasumbuliwa na tatizo la Upungufu wa Uaminifu katika Mapenzi......Wivu wa kijinga..
Hii ni mbaya sana,inaweza ikapelekea/ikamchochea mkewe kufanya kweli......
Kwangu mimi simu yangu ni yangu na ya mama Kabula(mrs) ni ya kwake,hakuna kitu kizuri kama privacy kwenye simu(na si mambo mengine ya kindoa).......Kama mke si mwaminifu si mwaminifu tu,kuna mbinu nyingi kweli za kucheat,so kumnyang'anya simu haisaidii zaidi ya kumchochea afanye vitendo hivyo.....Huyo jamaa aache mambo yake hayo,asitke kutudhalilisha walume bure.....
Mke mkeo tu.........Haibwi.
Bala.