Kumbukumbu zangu: Jihad John mkataji vichwa wa Islamic State

Na wahanga wake wale waandishi wa habari, walikufa bila kuhisi hatari iliyokuwa mbele yao.

Maana aliwalaghai kuwa wala wasiwe na wasiwasi kwa sababu tukio wanaloenda kulifanya ni maigizo na propaganda za kisiasa, hivyo wawe watulivu na waoneshe ushirikiano!

Visu vilipenya shingoni mwao huku bado wakihisi ni maigizo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!
 
Kuna Runani alichomwa Moto kwenye Cage..sijui Kama alihusika huyu Jihadi John
Huyu jamaa alitisha dunia nzima..alikuwa anakata kichwa anakiweka juu ya mwili..
 
Nilikuwa najua ni kweli haya mambo na kuona ni ukatili wa hali ya juu
Kumbeeeee
Mpaka nilipojua kuwa ni propaganda zao na video nyingi ziliwekwa na ukweli ukawa nje nje baada ya kuona jinsi wanavyotengeneza watu wanakatwa shingo
Tata’s hali tafuta hizo video za mirija ya damu (vimto) inavyowekwa shingoni
 
Ebu onesha mkuu tuone nasi.
 
I see..unamaanisha wale waandishi waliochinjwa wapo Ibiza wanakula bata
 
Ebu onesha mkuu tuone nasi.

Niliziangalia kitambo wakati walikuwa wakizirusha sana mpaka kwenye news huku wakionyesha kidogo sana na kusema zinatisha
Ila wameandika mengi
Hata Bank ya HSBC wafanyakazi wake wali mock mauwaji kama hayo
Video zimeondolewa nyingi ila baadhi zipo Youtube
Yote haya ni mbinu za USA kutaka dunia ichukie uislam na wapate njia za kuingia nchi zenye Mafuta ambazo ndio hizo za Kiislam
Na wao ndio walikuwa wanatoa hela ili fake video zisambae na kuaminisha watu

IMG_2192.jpg

IMG_2193.jpg

IMG_2189.jpg

IMG_2190.jpg
 
I see..unamaanisha wale waandishi waliochinjwa wapo Ibiza wanakula bata

Na walifanikiwa haswa na propaganda zao
Wakaanza kuvamia nchi nyingi zenye mafuta

Hebu niambie walikwenda Afghan kutafuta nini baada ya Sep 11
Na je mbona kabla ya uvamizi dhalimu wa Iraq kulikuwa hakuna Alqhaida wala vikundi vya Ugaidi mpaka walipovamia
Na Afghan na kwingine hivyo hivyo baadae ndio haya makundi yakajitokeza baada ya majeshi ya America kuvamia

Video nyingi zilikuwa fake ili watu waksirike na kuchukia
Fuatilia kwa kusoma sana utaelewa
Unaweza kuwachukia watu kwa kutangaziwa tu
 
sotloff2

Moja ya stori zilizotokea miaka ya 2014-2015 ni ya kijana wa kiarabu raia wa Uingereza ambaye alikuja kuwa tishio la dunia baaada ya kujiunga na kikundi cha ugaidi kinachojulikana kama Islamic State.

Kijana huyu alikuwa anajulikana kwa Jina la Jihad John, huku akiwa maarufu sana kwa kuonekana kwenye video akiwa na mask huku anachinja.

Ni Nani Huyu?
Kwa majina halisi ni Mohamedi Emwazi, alizaliwa mwaka 1988 katika nchi ya Kuwait, ambapo akiwa na miaka sita familia yake ilihamia Uingereza na kuishi magharib mwa London, alisoma primary shule ya St Mary Magdalene Church iliyopo uingereza na baadae kujiunga na Quintin Kynaston School.

Mwaka 2006 alianza chuo kikuu cha Westminster akichuka shahada ya sayansi katika mfumo wa mawasiliano pamoja na biashara (Bsc of Information System with Business Management) ambapo alimaliza kwa kupata lower second class with honors.

Maisha yake yalikuwaje?
Mohamedi Emwaz ni mtu ambaye alikuwa mpole, mwenye nidhamu na adabu kwa mujibu wa wazazi, wanafunzi na muajiri wake alithibitisha hilo.

Kwanini Jihad John na sio Emwaz?
Mohamedi Emwaz alikuwa anafahamika kama Jihad John ikiwa kama jina la utani, Jina la John lilitokana na kuwa katika kikosi chao cha uhalifu/uhuni kujiita "The Beatles" Band ya zamani ya muziki, kwahiyo Mohamedi Emwaz na wenzake walipeana majina kutoka kwa wasanii wa The Beatles na Emwaz kuita jina la John ikiwa na maana ya John Lennon wa kundi la The Beatles, Wakati majina mengine kama Jihad John. Jailer John na John the Beatles yaliundwa na waandishi wa habari.

Maisha baada ya kumaliza elimu
Baada ya kufanya mahafali mwaka 2009 katika chuo kikuu cha Wistminster, Mwezi Mei 2009 ripoti zinasema Jihad John na wenzake wawili walifika nchini Tanzania na kutua katika uwanja wa Mwalimu Julius International Airport na kwa bahati nzuri polisi waliwazuia kuingia kwa kuwa walikuwa wamelewa sana na kuongea matusi, pia kwa taarifa ya zinasema aliruka na ndege mpaka Amesterdam (uholanzi) ambapo M15 anataka kwenda nchini Somalia kwa kundi la Al shabab.

Idadi ya watu aliowachinja

o-NASSER-MUTHANA-570

Haijulikani ni watu wangapi walikata vichwa na Jihad John lakini watu ambao walijulikana ambao ni maarufu pamoja na, Mwandishi James Foley ambaye video yake iliwekwa katika mtandao wa you tube mwaka 2014 mwezi agosti, video hiyo ilikuwa inamuonesha Jihad john akitumuambia Foley kuwa aseme uchafu wa Marekani na aliposhindwa fanya hivyo Jihad John alikata kichwa, Pia mwezi wa tisa ilirushwa video ikionyeshwa muandishi wa marekani Steven Stoloff akikatwa kichwa na Jihad John.

Kundi kubwa la wanajeshi wa Syria walikata vichwa na Jihad John kwa live, kumbuka video za mwanzo zilikuwa akitaka kukata kichwa kamera inazimwa, sasa safari hii alionyesha live namna ambavyo anakata vichwa vya watu ambapo ilikisiwa si chini ya 12 au 18.

Kujulikana kwa Jihad John

putin

Video zote zilikuwa zinaonyesha mtu mwenye kinyago usoni huku akiwa amevalia nguo nyeusi, huku akiacha macho na viatu sio vyeusi, video zote alikuwa anaonekana amebeba bunduki akiweka begani, rangi ya ngozi ndipo maafisa wa upelelezi walijua kuwa ni muafrika au ni tu wa Asia, pia alijulikana kutokana na kimo chake, muonekano, na mishipa yake(Vein), sauti na nguo zake, Timu ya maofisa upelele ukiongozwa na Sir Peter Westmacott alisema kuwa uingereza itaweza mtambua mtu huyo kwa kutumia teknolojia ya Voice recognition.

Mkurugenzi wa FBI James Comey aliwaambia wandishi kuwa "Mtuhumiwa tumemfahamu wasifa wake na utaifa wake. Mpaka kufikia febuari 2015 jina la Jihad John lilijulikana kama ni Mohamedi Emwaz ndipo ndugu na jamaa wakaanza kutafuta.

Kifo cha Jihad John
Mwaka 2015, November 12 katika mji wa Raqqa nchini Syria shambulizi lililofanywa na ndege zakivita za kimarekani ambapo inasemekana kuwa Emwaz (Jihad John) alikuwa anatoka ndani ya nyumba kuingia kwenye gari ndipo likapigwa hilo shambulio.

Mwaka 2016 januari 19 kikundi cha Islamic state kilithibitisha kuwa Jihad John amefariki katika shambulio lililofanyika Raqqa.
Naam,,,, Hii ndio dunia ruka urukavyo fanya uwezavyo, ifanye dunia kama yako, tetea sana kile unacho kijua ndio kweli! kwa mauaji ya mwanadamu mwenzako, ila tambua kipimo kile unacho wapimia wenzako,nawe utapimiwa hicho hicho, na mwisho wa yote kaburi ndio mwisho wa jeuli yote hiyo,.
 
Niliziangalia kitambo wakati walikuwa wakizirusha sana mpaka kwenye news huku wakionyesha kidogo sana na kusema zinatisha
Ila wameandika mengi
Hata Bank ya HSBC wafanyakazi wake wali mock mauwaji kama hayo
Video zimeondolewa nyingi ila baadhi zipo Youtube
Yote haya ni mbinu za USA kutaka dunia ichukie uislam na wapate njia za kuingia nchi zenye Mafuta ambazo ndio hizo za Kiislam
Na wao ndio walikuwa wanatoa hela ili fake video zisambae na kuaminisha watu

View attachment 1911604
View attachment 1911606
View attachment 1911607
View attachment 1911609
Duuh!Hatari sana mkuu.Hii dunia ukiishi kijuu juu tu,unaweza jichukia hata wewe mwenyewe.
 
Niliziangalia kitambo wakati walikuwa wakizirusha sana mpaka kwenye news huku wakionyesha kidogo sana na kusema zinatisha
Ila wameandika mengi
Hata Bank ya HSBC wafanyakazi wake wali mock mauwaji kama hayo
Video zimeondolewa nyingi ila baadhi zipo Youtube
Yote haya ni mbinu za USA kutaka dunia ichukie uislam na wapate njia za kuingia nchi zenye Mafuta ambazo ndio hizo za Kiislam
Na wao ndio walikuwa wanatoa hela ili fake video zisambae na kuaminisha watu

View attachment 1911604
View attachment 1911606
View attachment 1911607
View attachment 1911609
Hivi jaman kwa Akil ya kawaida ukitaka kujipendekeza Kwa watu ili uwaibie si utawasifia vitu vyao ili wakukaribishe au?
Kama Marekani anataka mafuta Kwa nchi za kiislam si angeusifia Uislam ili asipate Shida kuingia...mbona Madrasa zinatutoa ufahamu Hivi?
 
Jamaa alikuwa left handed, by the time idea hizo zilivyokuwa zinauvuruga uislamu I was blindly admiring that dude.

He inspired lots of British youngsters to join the race by the name of Jihad.
Mkuu nawewe kidogo uingie jihad kukata watu vichwa?
 
Hivi jaman kwa Akil ya kawaida ukitaka kujipendekeza Kwa watu ili uwaibie si utawasifia vitu vyao ili wakukaribishe au?
Kama Marekani anataka mafuta Kwa nchi za kiislam si angeusifia Uislam ili asipate Shida kuingia...mbona Madrasa zinatutoa ufahamu Hivi?

Kuelewa haya mambo inatakiwa uwe nao au ufuatilie sana
Ila ukiwa wa kuchambua na ukaweka na udini utapotea sana na utakuwa na Chuki na jirani wa kiislam ambae hata kuku hajawahi kukuibia
Mimi nimeishi mashariki ya kati miaka, na vita ya Iran na Iraq nilikuwepo na baadae uvamizi wa Saddam huko Kuwait nilikuwepo pia
Na mpaka dunia iliposhambulia majeshi ya Iraq wote hao ni maslahi ya mafuta

Majeshi ya Iraq yalisalimu Amri na kulala chini lakini bado walitandikwa na silaha kuteketezwa pia

Unajua kuwa majengo yote makubwa kuanzia mahoteli mpaka majengo ya kifalme na barabara nyingi mpaka madaraja yalishambuliwa na majeshi ya Marekani na UK Na allied wengine kisa tu wapate tender za kujenga upya Kuwait maana Sheikh Jabir RIP
Alisema hata wakichoma Kuwait yote ataijenga kwa hela zake cash

Sio hadithi bali nilikuwa huko na kushuhudia yote haya

Sasa kama unafata cheap propaganda ni sawa ila ushuhuda ninao nimeishi Baghdad, Kuwait, Jeddah na nchi nyingine za huko

Kabla ya 2001 Afghan kulikuwa hakuna Alghaida ila walijitokeza baada ya USA kupeleka majeshi
Wao walikuwa na maisha yao ila biashara ya poppy ndio ikawa Dili kwa wazungu

Iraq kabla ya uvamizi kulikuwa hakuna alghaida wala Isis ila walikuja baadae
Najua nimeandika mengi ila ukweli ni kwamba popote kwenye maslahi mzungu anapeleka pua yake huko

Sisi kwa huruma zetu tulisaidia mataifa mengi kujikomboa na mpaka sasa tunaenda mpaka Congo kusaidia na tumefanya hivyo sio kwa ajili ya kuiba rasilimali zao

Ila kuna mataifa Africa sasa wanafuata Nyayo za wazungu wakienda mahali wanapiga kambi na kuanza kuiba rasilimali
Tena wengine walienda mpaka kuiba mkaa UPO HAPO
Na wengine wanajitutumua kama Taifa kuuubwaa nao wameanza ila sisi tutaendelea kuwa waungwana kwa misaada ila siku zinaenda wakiwa na nguvu kutuzidi itabidi na sisi tuwe hivyo maybe just maybe

Naomba umsome Dick Cheney enzi za Iraq na biashara zake
 
Ningekuwa na uwezo ningefuta uislamu duniani. yani kama huyo mpuuzi anasoma na kulelewa na wanaowaita makafiri halafu anakuja kuwaua. Kweli shetani hana shukurani
 
Angalia Apo mwanzo kabisa , Hiyo Adhabu ya kurushwa bondeni - ukatue kwa kichwa
 
Back
Top Bottom