mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,718
hahhaahaha et mpaka kitoweo kwake historia,alinunuliwa kikombe cha kahawa nkKaka hivyo vitu vichache vya maana uliyoyaandika kuhusu AA, TA, TAA na TANU ni kama punje moja ya mchanga wa Baharini, kila mtu akiandika anachokitaka itakuwa ni fujo tu, na ndio maana uandishi wa Historia unakuwa na Historia rasmi na hii inapatikana baada ya kufanyika research ya kuangalia mambo gani ya msingi yanayopaswa kuwemo ndani ya hiyo historia inayoandikwa, Kama Nyerere kusaidiwa kitoweo na Mzee Kiyate ina uzito kweli wa kuwekwa kwenye historia? Nyerere kasaidiwa vingapi kila alipokuwa anapita?
huyu ndo mwandish mamboleo