Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 20,853
- 30,198
Kituko,Haya mambo haya, ni balaa, Huyo Mohamed Said naye ni wakuja tu, wametoka Congo wakaishia Musoma, kisha wakaja Mzizima, naye ni wakuja tu, so hiyo history anayoandika ni story ya wazee wake wahamiaji sio wana Mzizima
Hakika ukoo wetu ni watu wa kuja kama nilivyokwisha eleza.
Babu yangu mkuu Samitungo kaingia Tanganyika kama askari na alikuwa
Shirati, Musoma.
Ukipenda unaweza kusema kuwa asili yangu hapa Tanganyika ni Musoma.
Historia niliyoandika imegusa wazalendo wengi na wa makabila mbalimbali.