mwakichi
JF-Expert Member
- May 14, 2011
- 417
- 97
Hakuna hata ile a.k.a ya Nape ya "The Romantic"?
Watakuwa wamesahau tu!
nape aka mr carolite..huyu jamaa uingereza wanamtafta sana
Hakuna hata ile a.k.a ya Nape ya "The Romantic"?
Watakuwa wamesahau tu!
wanamtafuta kafanya nini??hebu tumegee kidogo basi....nape aka mr carolite..huyu jamaa uingereza wanamtafta sana
Ule ulikua ni mchezo wa kitoto wa mzee makamba baada ya kushindwa kumnyamazisha Nape kuhusu hilo jengo jambo ambalo aliwaahidi kina lowassa kwamba nape wamuachie yeye kwa kuwa mwanae atamtuliza.
ndio mana makamba alipoanza kuropoka baada ya kumtumia yule mjane wa nyumba kubwa kwamba nape si mtoto wa mzee Nnauye,Nape aliwaambia waandishi waliomuuliza kwamba nasikia yeye sio mtoto wa moses nnauye,akawajibu wakamuulize makamba je yeye Nape alikua anaishi kwa mzee makamba na kina Januari, Ridhiwani na Mwamvita kama nani??
Waandishi walipomuuliza makamba hilo swali hakujibu, badala yake akamwita Nape wayamalize na kumtuliza zaidi akamtuma amuwakilishe kwenye mkutano mkuu wa chadema ambao makamba alialikwa pale sabasaba PTA hall, nyie watoto wa kiarusha mlikuwepo pale siku ile?
Tangazo hili limerudiwa leo kwenye gazeti la Mtanzania, bado jina la NAPE halijaoneka. Nimeambiwa anaowaita ndugu zake hawamtambui. Hata familia ya NNAUYE haitaki kumuona kwa sababu wanaamini Nape sio mtoto wao. Nape mwanachama humu jamvini tujuve kwa nini ndugu zako hawataki kukutambua.
Namkumbuka sana Moses Nnaye kama msanii mpigaji kinanda mahiri sana na vile vile hakucheza mbali na akina mama pia.
Mola amlaze pahala panapostahiki.
Watu wa kukumbukwa kwenye hii nchi ni wawili tu, Nyerere na Sokoine University of Agriculture. Hao wengine ni wa kuwapotezea tu.
Wafuasi wa Bakwata wala hupati tabu kuwagunduwa na hapo amevaa kipedo na chini ana kandambili, huyu ni mfupi kama akili zake.Ww hujui huu umaskini tulio nao sasa ni kwa sababu ya Nyerere, tutaendelea kumkumbuka kwa kutuletea umaskini !
Akiwamo Anna Abdallah.......nadhani palipatikana mtoto pia[/QUOTE
Unachanganya mambo,Anna ilikua ni ngoma ya mzee Kawawa,yale maji marefu yalikua kwa mzee Nnauye....!
Mzee Nnauye alikua ni muislam kamanda,ni kama mwenyekiti wa zamani w Chadema Bob Makani najua wengi hamjui pia nae ni muislam!Mbona kaburi halina msalaba au ni makaburi ya kiislamu?
Nape baba yake Prof Mwandosya, sio Nnauye. Kama mnabisha fanyeni DNA.
Duu! Hii thread imejaa viroja+urojo=MASHUZI KWENDA MBELE.
Nnauye ...alikuwa na watoto karibu 20..,nalifahamu hili kwa kuwa msiba wake nilishiriki vilivyo kwenye maandalizi..Yake pale nyumbani kwa mzee makamba ....
Mwanaisha hakuwa mwanamke pekee wa mzee Nnaauye....ambaye alikuwa charismatic na ladies choice.....sijui ni waziri gani wa enzi za mwalimu ,mwanamke...wasichana makada wa enzi hizo ambao walikuwa "hawamhui" brig gen.Nnauye ....alikuwa simply wa wote.....hata wenzake enzi za walimu walikuwa wakimtania waziri wa wanawake.....and would make Nyerere lough....that something they have in common with KIkwete ....ila tofauti ni kuwa KIkwete amejitahidi kuishika familia Yake pamoja .....na ameweza kuwaorodhesha wengi wa watoto wake chini ya mama mmoja .....amedeclare Ana mke mmoja na watoto zaidi ya nane ....that was good.....
Na Ana uwezo wa kuendelea kuwaandikisha chini ya mama mmoja .....hii itasaidia familia Yake miaka ijayo kuondokana na aibu ya watoto wa mke wake kutaka kujiona bora ....kuliko watoto wingine....
May be we can share na members wanawake ...kwanini hawapendi watoto wa wenzao?.....kwetu sisi wanaume watoto wote ni halal.....hakuna haramu...kwani hujui atakaye kusitiri ni yupi...
KWELI NI MFANO TOSHA KWA HAO "WANAODHANI",Lakini mi si katika hao,mzee mnauye alizikwa kwa taratibu za kiislam pale kisutu chini ya usimamizi wa ndugu yaka yusuf makamba,bado sio kigezo???wabongo tunapenda sana ligi za ubishi wa kitoto!