Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

BrigGenNnauyeKisw.jpg

Hapa nimegundua kitu kimoja. Watu wengi ni mapopo, mpaka leo haieleweki Moses Mnauye alikuwa dini gani ingawa amezikwa makaburi ya kiislamu. Kwa walioishi karibu naye hawakujua dini yake vizuri.

Nape mnauye pia haonyeshi wazi kama ana dini au la, na kama anadini hayuko wazi kuonyesha hadharani ni wa dini gani. Na kama ni muislamu sijabahatika kumwona na barakhashia au lile vazi refu lenye asili ya uarabuni. Hii ni ishara ya jinsi alivyolelewa.

Hata familia yake inaonyesha mkanganyiko wa kuchanganyika wakristo na waislamu. Kwa mtazamo wangu hakuwa na nguvu ya kuijenga familia yake katika umoja vinginevyo kusingekuwa na dini tofauti katika familia na hivyo hali kama hiyo hujenga familia kutokua kwenye misingi ya malezi ya aina inayowaunganisha, maana yake walikuwa na kila mtu kivyake tu, ndio maana matokea yake tunaona waliobahatika kuchomoza kutoka nyumba ndogo ni budding fruit tofauti na organic fruit ambaye, haonyeshi uhalisi na wala busara, bali ni kma debe tupu haliachi kutoa mvumo upepo ukivuma.
 
nape kuna nyimbo ya mashabiki wa Liverpool " U will Never Walk Alone"

Kaka hata Kama familia imekutosa sisi ndugu Zako tupo hapa JF lakini hata mbeya tupo sisi ndg Zako hasa Kule Rungweeeeeeeeeeee na mzeee wetu amerejea salama kutoka india

QUOTE=THE ROMANTIC;2933537]Ni miaka kumi sasa tangu ututoke mzee nnauye. Mapenzi yako yaliyotukuka kwa nchi yako yataendelea kukumbukwa milele. Ulikuwa amana ya Mungu kwa familia yako na taifa zima kiujumla, leo Mungu ameichukua amana hiyo toka kwetu, hatuna cha kulaumu bali kushukuru kwani kazi ya mungu haina makosa na kila nafsi itayaonja mauti, tulikupenda sana comrade lakini mapenzi yetu kwako hayakufua dafu mbele ya mapenzi ya mungu kwako.

Mke wako Mwanaisha, watoto wako Nape, Mariam, Joseph, Winnie, Mwate, Samora, Mussa na Bimdo wanakukumbuka na kukuombea sana kwa mungu. Wakwe zako January, Peter,Paul na Grace wanakukumbuka pia. Wajukuu zako Selemani, Adam, Otilia, Sanya, Kareen, Frank Jr wanakukumbuka pia.

Marafiki zako na watanzania kwa ujumla pia wanakukumbuka sana mzee Nnauye.

INNALILAAAHI WA INNAILAIHI RAAJIUUM!

BrigGenNnauyeKisw.jpg
[/QUOTE]
 
nape kuna nyimbo ya mashabiki wa Liverpool " U will Never Walk Alone"

Kaka hata Kama familia imekutosa sisi ndugu Zako tupo hapa JF lakini hata mbeya tupo sisi ndg Zako hasa Kule Rungweeeeeeeeeeee na mzeee wetu amerejea salama kutoka india so u will never walk aloneeeee

QUOTE=THE ROMANTIC;2933537]Ni miaka kumi sasa tangu ututoke mzee nnauye. Mapenzi yako yaliyotukuka kwa nchi yako yataendelea kukumbukwa milele. Ulikuwa amana ya Mungu kwa familia yako na taifa zima kiujumla, leo Mungu ameichukua amana hiyo toka kwetu, hatuna cha kulaumu bali kushukuru kwani kazi ya mungu haina makosa na kila nafsi itayaonja mauti, tulikupenda sana comrade lakini mapenzi yetu kwako hayakufua dafu mbele ya mapenzi ya mungu kwako.

Mke wako Mwanaisha, watoto wako Nape, Mariam, Joseph, Winnie, Mwate, Samora, Mussa na Bimdo wanakukumbuka na kukuombea sana kwa mungu. Wakwe zako January, Peter,Paul na Grace wanakukumbuka pia. Wajukuu zako Selemani, Adam, Otilia, Sanya, Kareen, Frank Jr wanakukumbuka pia.

Marafiki zako na watanzania kwa ujumla pia wanakukumbuka sana mzee Nnauye.

INNALILAAAHI WA INNAILAIHI RAAJIUUM!

BrigGenNnauyeKisw.jpg
[/QUOTE]
 
ni miaka kumi sasa tangu ututoke mzee nnauye. Mapenzi yako yaliyotukuka kwa nchi yako yataendelea kukumbukwa milele. Ulikuwa amana ya mungu kwa familia yako na taifa zima kiujumla, leo mungu ameichukua amana hiyo toka kwetu, hatuna cha kulaumu bali kushukuru kwani kazi ya mungu haina makosa na kila nafsi itayaonja mauti, tulikupenda sana comrade lakini mapenzi yetu kwako hayakufua dafu mbele ya mapenzi ya mungu kwako.

Mke wako mwanaisha, watoto wako nape, mariam, joseph, winnie, mwate, samora, mussa na bimdo wanakukumbuka na kukuombea sana kwa mungu. Wakwe zako january, peter,paul na grace wanakukumbuka pia. Wajukuu zako selemani, adam, otilia, sanya, kareen, frank jr wanakukumbuka pia.

Marafiki zako na watanzania kwa ujumla pia wanakukumbuka sana mzee nnauye.

Innalilaaahi wa innailaihi raajiuum!

briggennnauyekisw.jpg

matangazo kama haya wayapeleke bango mda ni mdogo sana kudiscuss marehemu hapa.
 
Alikua ni muislam mdau,jina lake ni halisi ni Mussa Nnauye,Moses alijipa ili apate nafasi ya kusoma shule za mission enzi hizo walikua wanatakiwa kusoma kwenye shule hizo wakristo tu,wengi walibadili majina hata marehemu kighoma malima anaingia kwenye kundi hili!

moses ni jina la kiislamu, malima ni jina la kiislamu. wapi walibadili majina? . na huyu mtoto wa nauye anayeitwa joseph , na huyu mariamu nao walipewa hayo majina ili wasome kwa mission? mawazo hafifu haya. wote hawa wanao soma hizo shule za mission mpaka leo hii wanabadili majina?. ni yatima wangapi walilelewa kwenye nyumba za malezi za makanisa wakifahamika kabisa ni yatima wa kiislamu?.
kinachonitatiza siku zote ni kuwa haya yanasemwa na watu juu ya watu. lakini hakuna aliye muhanga wa haya yanayosemwa akasimama hadharani na kusema kuwa either asingekuwa alipo kama asingeficha identity yake au asingekuwa alipo kama angeficha identity yake.

leo ukienda pale kwa nyumba ya yatima msimbazi utaona watoto na majina yao ambayo yanasema imani zao, lakini bado sisi ambao tunatakiwa kuusema ukweli tunapindisha kwa sababu ya either fikra duni au kwa nia ya kupotosha tu ukweli
 
Alikua ni muislam mdau,jina lake ni halisi ni Mussa Nnauye,Moses alijipa ili apate nafasi ya kusoma shule za mission enzi hizo walikua wanatakiwa kusoma kwenye shule hizo wakristo tu,wengi walibadili majina hata marehemu kighoma malima anaingia kwenye kundi hili!
Sasa majina haya kwa watoto (Joseph, Winnie) kayatoa wapi au nao walisoma shule za kikristo ikabidi wabadili majina? Pia wakwe zake nao wana majina ya kikristo (Peter,Paul na Grace) Bado kuna utata nafikiri umekurupuka.. Maana hata jina la Mussa na Moses lipo kwa wakristo
 
Kwenye orodha ya warithi wa marehemu alikumbukwa lakini?.Ukitaka kuwa maarufu pambana na mtu maarufu, oa au olewa na mtu maarufu, chezea timu maarufu, tafuta cheo maarufu, soma kozi maarufu, jenga urafiki na watu maarufu n.k. Umaarufu wa Nape uko mikononi mwa EL. Wakimvua gamba au kushindwa kumvua gamba hatutamsikia Nape tena.

Na huenda kuanzia sasa asiongelee tena kujivua gamba kwani muda tuliosubiri EL aseme aliyotakiwa kuyasema Monduli kwa waandishi wa habari kayasema NEC Dodoma.

Ujasiri wa Nape anaweza kuuonesha sasa kwa kumtuhumu pacha wa nnne na kufuta kauli ya Mapacha watatu na kupata msemo mpya wa Mapacha manne. Alichotakiwa kufanya Nape baada ya EL kutoa ya moyoni alitakiwa kujitoa CCM siku ile na kumshambulia pacha wa nne. Hakika angekuwa maaarufu ya hapa alipofikia.

Tunachosubiri sasa ni graph yake kuanza kushuka. Namtabiria akiita waandishi atakuwa anawakosa na hata wakienda atakuwa hapati ukurasa kwenye gazeti na hata akipata siku hiyo mauzo hakuna.
 
Namuulumia nape when lowasa comes to power ataanza na yeye.sijui atakimbilia wapi kipindi hicho atatoa macho kama amepoteza nauli
 
Jamani nape yuko wapi kwenye listi ya watoto? haiwezekani kwamba kasahaulika ktk orodha ambayo hata wakwe na wajukuu wamewekwa? au alikuwa mtoto wa............................................
 
Ni miaka kumi sasa tangu ututoke mzee nnauye. Mapenzi yako yaliyotukuka kwa nchi yako yataendelea kukumbukwa milele. Ulikuwa amana ya Mungu kwa familia yako na taifa zima kiujumla, leo Mungu ameichukua amana hiyo toka kwetu, hatuna cha kulaumu bali kushukuru kwani kazi ya mungu haina makosa na kila nafsi itayaonja mauti, tulikupenda sana comrade lakini mapenzi yetu kwako hayakufua dafu mbele ya mapenzi ya mungu kwako.

Mke wako Mwanaisha, watoto wako Nape, Mariam, Joseph, Winnie, Mwate, Samora, Mussa na Bimdo wanakukumbuka na kukuombea sana kwa mungu. Wakwe zako January, Peter,Paul na Grace wanakukumbuka pia. Wajukuu zako Selemani, Adam, Otilia, Sanya, Kareen, Frank Jr wanakukumbuka pia.

Marafiki zako na watanzania kwa ujumla pia wanakukumbuka sana mzee Nnauye.

INNALILAAAHI WA INNAILAIHI RAAJIUUM!

BrigGenNnauyeKisw.jpg

Jamani hili tangazo mimeliona...lakini naona wana ndugu wamemtenga member mwenzetu Nape.....hiii imekaaje?.....familia za Kiswahili bwana........wana maana gani kutokumuorodhesha mshkaji kwenye list ya watoto wa marenhemu?...hata Kama vipi...lakini yeye ndie anaiepeperusha familia ya Nnauye.....waangeweka tofauti pembeni....
 
Jamani nape yuko wapi kwenye listi ya watoto? haiwezekani kwamba kasahaulika ktk orodha ambayo hata wakwe na wajukuu wamewekwa? au alikuwa mtoto wa............................................

Hata Kama alikuwa mtoto wa nje ...mtu akishakufa wote wanakuwa kitu kimoja na mama mkubwa ndie anakuwa ....anawabeba wote ...huu ni udhalilishaji!!!!! Ukweli katika familia ya Nnauye anaewika ni Napelele.....hapa wamemuharibia kisiasa...matusi ya watu Kama Kilumbe ngende....yatazidi...
 
Answer:
Mbona kama umeongea kinyume mkuu,hao wanaoitwa mafisadi si maadui zake huyu au mafisadi gani pengine unaowazungumzia???labda na wewe un a tafsiri yako kuhusu ufisadi na mafisadi!

Pia haiko wazi ni mtoto yupi, Nnauye ameach LUNDO la watoto!
 
Kwa kumbukumbu zangu, wakati ule wa Ugomvi wake na akina Lowassa kuhusu Jengo la Umoja wa Vijana, Mke wa Marehemu Moses Nnauye alimkana kwamba si mtoto wa Marehemu na alianza kumwona baada ya Msiba wa Mzee Nnauye.

Mara nyingi wanaume huwa hawaonyeshi watoto wao kwa wake zao, kwa mana ahiyo inaeleweka mke wa Nnauye kumakana Nape! Sio jambo la ajabu na ni kitu cha kutegemewa. Unajuaje kama Mama Nnauye alitaka huruma za mafisadi?
 
Mnamo tarehe 15 oktoba 2011 Katika mazishi ya mkurugenzi mtendaji wa zamani wa uhuru fm marehemu Juma Penza pale ktk makaburi ya kisutu bwana Nape akakumbuka kuwa kuna kaburi hili la mlezi wake Musa Nnauye maeneo yale.

Picha inaonyesha kuwa anamwagilia kaburi la baba yake, full stop! haisemi kama andio amekumbuka wala nini? we are not sure kama kila mwaka alikuwa anakwenda kumwagilia hilo kaburi. Again, there is no eveidence kwamba ilikuwa ni siku ya mazishi, kama ni kweli, alipata wapi maji na can huko makaburini? Na kingine, kama ni wakati wa mazishi, mbona hakuna watu wengine pembeni?

Kwa kifupi hii picha inaonyesha Nape akimwagilia kaburi (linaloaminika kuwa ni la baba yake, liko mbali na maneno hayasomeki) and nothing else!
 
Back
Top Bottom