Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

tena ndio mtoto pekee aliyerithi mikoba ya mzee kwa kuwa mzee aliwahi pia kuwa kwenye cheo alichonacho nape sasa!acheni wivu wa kike!

huu sio udhalilishaji kweli kwa dada zetu?......bt nimependa post zako mkuu zinaeleza kiufasaha anayetaka kubisha ni kwa sbb tu kaamua kukubishia, inaonekana uko karibu na familia ya mzee Nnauye, ila ushauri wangu kama unaedzaufikisha kwa nyumba kubwa waambie tu kwa kutomtaja Nape kwenye hii taarifa hawajamtendea haki Napemwenyewe na marehemu pia sbb hata kama Nape ni mtoto wa nyuma ndogo haiondoi ukweli kuwa yeye si wa damu ya marehemu
 
BAADA YA UCHUNGUZI WA KINA WA TANGAZO HILI NIMEGUNDUA YAFUATAYO

-HABARI HII IMEWEKWA HAPA NA VUVUZELA,MTU WA MIPASHO NAPE NNAUYE

-NAPE SIO MTOTO WA MOSES KWA SABABU UKICHUNGUZA TANGAZO LA NDANI LENYE PICHA YA COMRADE MZEE MOSES WATOTO WALIOTAJWA PALE NAPE HAYUPO

-KUNA MJUKUU ANAYEITWA NNALEKANA AMBAYE YUPO KWENYE TANGAZO ILA KWENYE THREAD YA NAPE HAYUPO

-JANUARY MAROPE AMEOA MTOTO WA NNAUYE????

-THE ROMANTIC NI USER ID AMBAYO KILA SIKU INAINGIA NA KUPOST HUMU UTUMBO

-ROMANTIC NI USER ISIYO RAFIKI NA CCM HATA KIDOGO my take NAPE HAKUBALIANI NA JK NA HIVYO ANAITUMIA ROMANTIC KUMPONDA NA KUELEZA LILILO MOYONI MWAKE SIO MDOMONI

-NAPE NI MNAFKI KWANI KWA ID HII YA ROMANTIC AMEONYESHA KUWA MKWELI ILA AKIWA MBELE ZA WATANZANIA ANAONGEA KAMA WALE JAMAA WANAOTOA ULE MTANDAO WA NUSU SHILINGI

badilika braza siku zimeisha
 
kumbe NAPE ni ROMANTIC wa magamba ok....ndio maana anavaa vikuku:::
 
Selemani umemaliza, jina la kinyakyusa NAPELIGWE, ikimaanisha Nilipewa kwa kiswahili!
 
Mzee ameacha kumbukumbu mbaya sana kwetu. Sio kwa yale aliyoyafanya kwa nchi yake bali kiumbe alichoacha kwenye familia yake. Ametuachia mtoto mwenye kiburi, kiziwi, mipasho, vuvuzela ambaye amekuwa mzigo kwa taifa ambalo baba huyu alikuwa kioo! Kama tatizo sio malezi yake basi ni hujuma na ushawishi wa mafisadi ndio vilimzidi nguuu mwanae.

Tutaendelea kumwombea mzee wetu huyu wakati tukiendelea kupambana na mafisadi waliomwaribu mwanae ili angalau afuate yale mema na mazuri aliyoyafanya baba'ake kwa nchi yetu.

R. I. P mzee Nnauye!


Filipo vipi mkuu, mbona haujamhurumia kabisa mtoto wa huyo mheshimiwa???????????
 
kumbe huyu ndo baba wa boga nyaya nape, jamaa yule vuvuzela asikuwa na maadili kabisa
 
Nape ni kiongozi jasiri sana,nashangaa wanaombeza


ni nini maana ya jasiri.?
NI MTU ANAETUKANA LIVE KWENYE MIKUTANO YA SIASA.?
NI MTU ANAETAJA MATOKEO YA UCHAGUZ KABLA NEC HAIJATANGAZA.?
NI MTU ANAE KATAA ID YAKE HUMU THEN BAADA YA SIKU CHACHE ANAIBUKA NA KUITUMIA TENA KWA MIPASHO KAMA 'MKE WA MZEE YUSUPH'.?
.....................................jipange...................
 
Ee mola, mlaze baba yake mlezi Nape mahali anapostahili kutokana na matendo yake yote ya duniani.
Amen.
 
Alikua ni muislam mdau,jina lake ni halisi ni Mussa Nnauye,Moses alijipa ili apate nafasi ya kusoma shule za mission enzi hizo walikua wanatakiwa kusoma kwenye shule hizo wakristo tu,wengi walibadili majina hata marehemu kighoma malima anaingia kwenye kundi hili!

Mussa anaweza kuwa mkristo vilevile; unless una uhakika na unachokisema, otherwise, kwa hilo jina bado hakuna concrete evidence kwamba huyo brigedia alikua muislam!!
 


Mnamo tarehe 15 oktoba 2011 Katika mazishi ya mkurugenzi mtendaji wa zamani wa uhuru fm marehemu Juma Penza pale ktk makaburi ya kisutu bwana Nape akakumbuka kuwa kuna kaburi hili la mlezi wake Musa Nnauye maeneo yale.
 
Alikua ni muislam mdau,jina lake ni halisi ni Mussa Nnauye,Moses alijipa ili apate nafasi ya kusoma shule za mission enzi hizo walikua wanatakiwa kusoma kwenye shule hizo wakristo tu,wengi walibadili majina hata marehemu kighoma malima anaingia kwenye kundi hili!

Sasa kuitwa Mussa ndio kusema kina mussa wote ni waislam... WadaNGANYIKA tabu sana. Kwa kifupi ukiwa kanisani ibada ya kiswahili atasemwa Mussa na ibada ya Kiingereza atasemwa Moses.... Nadhani umeelewa vizuri.
 
Sasa kuitwa Mussa ndio kusema kina mussa wote ni waislam... WadaNGANYIKA tabu sana. Kwa kifupi ukiwa kanisani ibada ya kiswahili atasemwa Mussa na ibada ya Kiingereza atasemwa Moses.... Nadhani umeelewa vizuri.

na madrasa atasemwaje?
 
nape amejaribu, ni kijana pekee huko ccm aliyeweza kuwambia mfalme uko uchi, tumpe hi badala ya kumlaumu
 
na madrasa atasemwaje?

Ngoja nibadilishe mfano maana waDAGANYIKA huwa wagumu kuelewa. Kwa kifupi swala la Mussa au Moses ni lugha tu. E.g. Kiongozi wa dini ya kiislam akiwa anaongea English katika msikiti hapa London atasema Moses na akiwa Mwembechai kwa waswahili anasema Mussa. Hapa nadhani umenipata Daudi (Ah ah ah DAVID hapa london)

Nakumbuka nilisoma chuo kikuu kimoja na mtu kutoka Egypt ambaye ni mkristu na kwa kuwa kulikuwa kuna utaratibu wa kwenda kanisani asubuhi siku moja ilikuwa tabu sana alipoandika "Yesu ni Jibu"kwa lugha ya kiaarabu maana watu wengi wanadhani kiaarabu ni uislam.... Basi nilipomaliza chuo akanizawadia tshirt moja inayosema "Yesu ni Jibu" na nilipotua bongo nikawa naitinga basi mazuzu wakawa wanasema duu huyu jamaa siku hizi ni muislam. HUU NI MFANO TOSHA KWA WANAODHANI UKIITWA MUSA WEWE NI MUISLAM NA UKIITWA MOSES WEWE NI MKRISTU.
 
Back
Top Bottom