Kumbukumbu ya Brigedia Gen. Moses Nnauye!

e09c2c6c1f2ad20cf0679a24125970f1.jpg

Kidogo napata shida ktk suala la familia ya Mh. Nape 'Mosses' Nnauye.

Kwanza kabisa hili jina la Mosses huwa halitumiwi na waislamu, waislamu hutumia Mussa, lkn pia hapa ktk kumbukumbu ya mzee Nnauye jina la Nape halipo.

Pia kulikuwa na tetesi kuhusu originality ya Nape cyo mzee Nauye sasa cjui km kuna ukweli au laa.
 
Inatusaidia nini kufuatilia maisha binafsi?

Tungekuja na mada ya kujadili kwanini dawa ya ukoko inapulizwa kimaeneo? kwanini tuna kiwanda cha kuua viluilui vinavyozalisha mbu waenezao malaria na bado malaria ni tatizo? ule mradi wa malaria Dar Es Salaam kwanini ulikufa? nk nk
 
Nape ni Mtoto wa Moses!

Mama yake Nape hakuwa Mke wa Ndoa wa Bregadia General Moses Nnauye.

Wakati wa Mchakato wa Uenykt wa UV CCM wanamtandao wa Lowassa wakiongozwa na Mzee Yusuph Rajab Makamba walienda 'kumtengeneza' ni Mwanaisha Mke wa Ndoa wa Afande Nnauye amkane Nape na kweli akasaidiwa kuitisha Press conference akamkana Nape kuwa si wala hajawahi kuwa Mtoto wa Mzee Nauye kwa kuwa kwny Wosia wa Marehemu alioacha Kwny orodha ya Watoto wake Nape hakuwepo!

Afande Nnauye alikuwa Muislam na Nape ni Mkristo akifuata Dini ya Mama yake ambae ni Mnyiramba wa Singida

Kuhusu Mzee Nnauye kutumia Jina la Moses Hiyo ni Technique iliyotumiwa na Waislam wengi wakati wa Ukoloni waliopita Shule na baada ya Ukoloni kuepuka Ubaguzi wa kidini Mf.

Jakaya Kikwete Jina la Khalfan alikwepa kulitumia kukwepa Mkono wa kidini, Jina lake ni Jakaya Khalfan Mrisho Kikwete Mizega, Khalfan ikawa nadra kutumia!

Ukiwaona Ditopile Mzuzuri Jina la Ramadhani akalitumia mara chache

Generali Ulimwengu Jina la Twaha akaachana nalo kwa muda

Hayati Wakili Msomi Bob Makani Jina lake la Mohamed akaachana nalo kwa Muda

Kighoma Ally Malima , akaachana kwa Muda na Jina la Ally

Moses Nnauye Jina lake halisi ni Mussa Nnauye
 
Inatusaidia nini kufuatilia maisha binafsi?

Tungekuja na mada ya kujadili kwanini dawa ya ukoko inapulizwa kimaeneo? kwanini tuna kiwanda cha kuua viluilui vinavyozalisha mbu waenezao malaria na bado malaria ni tatizo? ule mradi wa malaria Dar Es Salaam kwanini ulikufa? nk nk
Ili tujue tuu mkuu c unajua huyu kiongozi kijana ambaye watu wengi anawainspire so kumjua ni jambo jema tuu, au umemaind
 
e09c2c6c1f2ad20cf0679a24125970f1.jpg

Kidogo napata shida ktk suala la familia ya Mh. Nape 'Mosses' Nnauye.

Kwanza kabisa hili jina la Mosses huwa halitumiwi na waislamu, waislamu hutumia Mussa, lkn pia hapa ktk kumbukumbu ya mzee Nnauye jina la Nape halipo.

Pia kulikuwa na tetesi kuhusu originality ya Nape cyo mzee Nauye sasa cjui km kuna ukweli au laa.
We dini yako ipi?tuanzie kwako ndo tuje kwa nape.
 
Back
Top Bottom