Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 10,975
- 23,446
Unashangaa watu wanakukataa ile ya mimi sikujui wewe,nikalie mbali.Ogopa msoto kwa akili zako zote, kwa nguvu zako zote ila ni kipindi kizuri sana cha kuchuja yupi uendelee naye katika safari maana kila rangi utaiona mubashara!!