Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,736
- 89,326
Niliwahi kufanya "dhambi ya uzembe na kuwaamini" niliokuwa nao kibaruani.Vilinigharimu sana.Usiombe kuwa mzembe na kuamini watu hovyohovyo,utajuta.Dhambi gn ili na wngn tujifunze
Niliwahi kufanya "dhambi ya uzembe na kuwaamini" niliokuwa nao kibaruani.Vilinigharimu sana.Usiombe kuwa mzembe na kuamini watu hovyohovyo,utajuta.Dhambi gn ili na wngn tujifunze
Unalosema ni kwel kabisa, kuna watu kutaabika kwako ndo kunawapa amani ya moyo, nina mifano hai kabisa.Pole sana, je ulichapwa / kufungwa riziki na ndugu? Maana ndugu bwana wana matatizo kwa kweli kwani kwenye ukoo akitokea mtu mmoja mchawi basi anafunga nadhiri ya kufunga ndugu wa wenzake ili tu aone wanavyoteseka achekelee.
Mjinga huyu.Eti dhambi, anataka tuulize ulize thread ifike 100000 au?
Nimegundua hapa ni Uniliver limited chai bora
hyo dhambi ni clasifaid mkuu, cha msingi dhambi mnazijua kwa hyo msifanye dhambi, okMjinga huyu.
Halafu yeye awe mzuri au ana kipato flan hiv.Kuhusu mke: nyakati kama hizi ndio za kupima kama ulienae ni mke au ulijichanganya!
Hua inapotea nyakati kama hiz. Unakua nusu chiz. Hata upeo wa kufikiri hupungua. Na ikitokea umetomba mkeo, kama ni mtoto kutokea mara nyingi hua hawana akili nzuri.Vipi nguvu ya kumtomb wife ilikuwepo?
Huwezi kumlipa mtu aliyekutendea wema huwa analipwa na Mungu.Natamani nijue alipo Kwa sasa nimlipe wema wake.
Hakika wema ni akiba.Ashukuriwe Mungu kuna mtu nilimtendea wema miaka mingi iliyopita na nilikuwa nimekwisha msahau.
Alinikuta nimechoka sana sana.....ingawa wengi kwenye hali hii walinikimbia....yeye hakufanya hivyo.
Wee Mzee WA yuropu miyeyusho Sana😂Una hela nyingi sasa hivi?
Pole mkuu, Mungu akujalie wepesiPole sana mkuu.Hakuna marefu yasiyo na ncha hongera kwa kuishinda changamoto. Hii hali ninaipitia sasa.
Bila Shaka Sasa hivi unaitwa babu kikweli sio Ile babu ya kiuskajiNaam ni msoto baada ya kupoteza muelekeo kwa miaka kadhaa.
Kila kitu kilikwama kuharibika na kuchakaa.
Nguo viatu vyote viliisha yaani kuna mashati yalichakaa mpaka yakawa kama neti.
Habari ya kulala njaa ilikuwa jambo la kawaida sana,muhimu watoto wapate japo chai jioni.
Tulichakaa mpaka tukawa simulizi kwa majirani,sometimes gengeni na kwenye mangi shop hatukuaminiwa sababu ya ugumu wa kulipa.
Inapopatikana pesa kidogo mtoto anaugua hivyo pesa yote inakwisha.
Mifumo ya shughuli zangu ikabadilika nikawa napata riziki kwenye jua kali na huku nina njaa.
Sikukataa tamaa......nilikuwa sikosi nyumba ya ibada hata kama sina sadaka.
Ashukuriwe Mungu kuna mtu nilimtendea wema miaka mingi iliyopita na nilikuwa nimekwisha msahau.
Alinikuta nimechoka sana sana.....ingawa wengi kwenye hali hii walinikimbia....yeye hakufanya hivyo.
Nakumbuka maneno yake....mkuu haya si maisha yako.....kwa kifupi hata sura na muonekano kwa ujumla ulikuwa unatisha kwa kupigika na maisha na kuonekana kama mgonjwa....
Kwanza alinipoza na fedha kiasi...akanipa business card kwamba lazima j3 usubuhi niripoti ofisini.
Jumapili jioni naangalia nguo ya kwendea ofisini...sina....viatu sina...daah....
Nakumbuka niliamka alfajiri kupanda basi moja ili kusevu nauli......kipande kilichobaki nilichapa mguu...asubuhi kumepoa lakini nilisweti kimtindo.
Nilipokelewa kwa ukarimu ofisini hawakujali muonekano na mavazi yangu yaliyochoka.
Nilipigwa na A/C roho ikatulia.....nikasema kimoyomoyo Mungu saidia wanangu wasipite kwenye mateso kama haya......na kimsingi mateso waliyapata waziwazi.....dua na maombi yasirudie tena....AMEN amen 🙏
H ishu ilishawah kunitokea Ila sio khs uzembe, unakuta watu wanakutumia kufanikisha jambo lao then likikukuta jambo wanakaa pembeniNiliwahi kufanya "dhambi ya uzembe na kuwaamini" niliokuwa nao kibaruani.Vilinigharimu sana.Usiombe kuwa mzembe na kuamini watu hovyohovyo,utajuta.