KUMBUKIZI: Ni mwezi umepita yangu Simba akimbie mechi ya derby

KUMBUKIZI: Ni mwezi umepita yangu Simba akimbie mechi ya derby

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Leo tarehe 4 April ni mwezi umepita ambapo Simba alikimbia mechi,tarehe 8 March

Sababu za kukimbia mechi ni uoga uliowajaa Simba kutokana na wachezaji wao wenye unafuu kuwa na majeraha kama Che maloni, Camara na Ngoma

Simba walishirikiana na Bodi ya ligi pamoja na TFF kuhujumu derby bila sababu za msingi

Hadi Leo mwezi umepita bodi ya ligi wapo kwapani Kwa Simba wamejificha Bado hawajatangaza tarehe mpya ya kucheza derby kama walivo jinasibu

Kwanini hadi Leo mwezi umepita lakini bodi ya ligi haijatangaza tarehe mpya ya derby wanaogopa Nini?

Bodi ya ligi na Simba walishirikiana kuhujumu
Hii ni aibu Yao

Anniversary ya mwezi Sasa tuendelee kusubiri

HATUCHEZI

YANGA BINGWA
 
Simba hajakimbia mechi ni uto kutojua kanuni au kupenda kufanya vitu kiswahili ndio maana.Simba alitimiza kauli mbiu yake tu ya #Ubaya ubwela

Mechi tungecheza na Uto angekufa nyingi(Rejea game ya tawi la UTO la Dodoma)
 
Back
Top Bottom