PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
 
Nilivyokua simpendi huyu mama, mbona wanachelewesha kwenda kumfukia? Au wanataka hadi apige chafyaa?
Jamaniiii aaaaah.
 
Ahahahahahaha
Yadunia mengi.
Duniani unatakiwa uishi kama mgeni tu.
 
Waumini wa mila na destri wanasema CHUNGU cha kulipa kisasi kwa aliyedhulumiwa kikivunjwa/ pasuliwa moto wake hunza kuondoa wote walioshiriki kwa namna yoyote kwenye hiyo dhuluma.

Huwa inaanza na wa chini kabisa, na wa mwisho kuondoka ni mhusika mkuu.
Hii inakuwa hivyo ili mhusika mkuu apate muda wa kuielimisha jamii yake ubaya wa aliyofanya.

YETU MACHO..!
 
Back
Top Bottom