Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kwahiyo ulifikiri haka katoto espy bado kana bikra??? Wajanja walishaitifua tangu kakiwa form two.
Hahahaaaa!! Hizi siasa za majitaka.
Kwanini unanipakazia uongo wakati mtoto wa watu bado mbichiii!!
 
Hata mm nilimuachaga MTU nikaolewa kimya kimya alipojua alilia sana hadi aliumwa kichwa so man mwaminifu huwa anapenda kikweli kweli
 
Basi kumbe mi shemeji yetu sote... kutesa kwa zamu. Acha ndugu zetu wafaidi bhana... si unajua kale kashimo huwa hakajaagi??

Ha ha ha, basi sawa, espy mimi na yeye ushemeji wetu utatenganishwa na kifo.
 
Basi kumbe mi shemeji yetu sote... kutesa kwa zamu. Acha ndugu zetu wafaidi bhana... si unajua kale kashimo huwa hakajaagi??
We subiri nikifa unikabe,kaone!!!
 
Hata mm nilimuachaga MTU nikaolewa kimya kimya alipojua alilia sana hadi aliumwa kichwa so man mwaminifu huwa anapenda kikweli kweli
Kwanini ulimwacha?? Je huyu wa sasa yuko salama au naye utamwacha soon??
 
Ndio hivyo, jiandae kisaikolojia.
Ila ulivyo kurubembe kazi ipo!!

Anza kuwaandaa watu humu kisaikolojia maana vithread vya ushauri havitakuisha. Sumu ntakuwa makini usije niletea mikesi mimi
 
Hapana... mi kiungo K hakinibabaishi... Kina sura mbayaaaa!! Sijui kwanini Mungu aliamua kuweka utamu kwenye jidude libaya namna ile... hebu imajin na ubaya ule bado watu wanalia na wengine wanaulamba... K ingekuwa na sura nzuri hakyamama msingekuwa nazo leo, lazima walume wangezimeza...

Ndo maana mi siipendagi kabisa K... yani labda itokee tu.
Hahahaaaaaaa!!!
Yaani alokuroga wewe alishakufa siku nyingiiiiii!!
geniveros njoo uchukue huu mzigo wako.
 
Shemeji hii wiki ngumu kweli kwangu tangu kaka yako asheherekee birthday ya mia wakati yangu hata haijui, yote tisa, kumi valentine sijui hata alikuwa wapi!! Nina majonzi sana shemeji yangu.

Kweli hayo ni majanga, ningejua hata lile swali nisingekuuliza, nilitakiwa nielewe tu.
 
Pole kwa kijana...

Kila kitu huwa kinatokea kwa sababu zake.

Huyo hakuwa 'right'kwake, she has to go to allow the right one to come in.

Amtakie tu kila la kheri.
 
Back
Top Bottom