Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Kumbe wanaume wanaolizwa na mapenzi bado wapo!

Hahaha....nisije kuja kuwa mpenzi mtazamaji kama mwenzio ulokuwa unamchungulia.
Ukija uje na lesson plan nikusaidie kuchora [emoji2][emoji2][emoji2]
Unafaa sana kuwa mpenzi mtazamaji.
Watoto wa siku hizi hawahitaji lesson plan maana wanajiplan tofauti na dunia inavyokwenda, hivyo unaiplania darasani.
 
Nataka niwe mchepuko maana huwa unajaliwa kuliko njia kuu, kama Asprin kahonga pensheni yooote kwa mchepuko kaacha watoto wanalala njaa.
Hahaha....mimi na shida na cheo unachokitak basi. Shida yangu papuchi tu na penzi lako
 
Mzee mwenzangu mama mkwe wako namwambia aje nimpleke sehemu hajawahi fika....staki ateseke kutafuta penzi la ukweli
Hili penzi lako limejaa ukakasi sasa, naihofia ile michepuko yako, bora binadamu hata nitamtisha!
 
Unafaa sana kuwa mpenzi mtazamaji.
Watoto wa siku hizi hawahitaji lesson plan maana wanajiplan tofauti na dunia inavyokwenda, hivyo unaiplania darasani.
The sex teach women to love. Sifanyi kosa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom