Kumbe viongozi wa CCM wanamiliki viwanja vikubwa sana Morogoro

Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
1,938
4,354
Lissu leo Morogoro amedai kwamba viongozi wa CCM wanamiliki viwanja ambavyo hawavitumii huko Morogoro. Huenda ndo maana kuna migogoro ya Ardhi huko Morogoro kwa sababu wafugaji wanakosa maeneo ya malisho.

Nimeona document inaonesha vigogo wa CCM wanaomiliki viwanja huko Morogoro.

IMG_6814.JPG
 
Mbowe Ana mashamba kule na Lissu hakuyasikia, kasikia ya viongozi wa CCM tu
Kuna mtu alikuwa na ugomvi waashamba na Mbowe aliuawa na wasiojulikana mbona Lissu haelezi hili? Aache kupayuka ovyo.
 
Kumiliki shamba sio dhambi tatizo wamechukulia mikopo na hawayaendelezi wakati uwezo huo wanao,basi wakodisheni villagers wajilimie
 
Ni ukweli. Wengine ni Bepari marehemu Mkapa lipo Kigugu, Turiani Mvomero. Mzee Ruksa Mwinyi lipo Dakawa Makao makuu ya Wilaya Mvomero. Sumaye lipo Mvomero. Bashe lipo Mvomero huko Mzumbe.Simbachawane, na Mawaziri wengi wa CCM. Migogoro ya ardhi Morogoro inahitaji uongozi madhubuti kuitatua na siyo maigizo ya CCM na Serikali yake maana yenyewe inahusika kwa kiasi kikubwa kupora ardhi ya wakulima na wafugaji.
 
Mbowe Ana mashamba kule na Lissu hakuyasikia, kasikia ya viongozi wa CCM tu
Kuna mtu alikuwa na ugomvi waashamba na Mbowe aliuawa na wasiojulikana mbona Lissu haelezi hili? Aache kupayuka ovyo.
Huyu mbowe inaonesha kaua wengi.
Halafu utasikia kauawa na serikali ya CCM.
 
Kumiliki shamba sio dhambi tatizo wamechukulia mikopo na hawayaendelezi wakati uwezo huo wanao,basi wakodisheni villagers wajilimie
Absolutely....umemaliza mjadala!

Everyday is Saturday............................ :cool:
 
Back
Top Bottom