Morogoro: Viongozi wataka Mawaziri 5 wanaomiliki Ng'ombe wengi washughulikiwe kwa uharibifu wa vyanzo vya maji

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Baadhi ya viongozi wa Wilaya ya Morogoro wamewasilisha ombi kwa Rais Samia Suluhu Hassan la kufanyia kazi madai kuwa kuna Mawaziri 5 wanaomiliki ng’ombe wengi ambao wanaharibu vyanzo vya maji vinavyosaidia Mikoa ya #DaresSalaam, #Morogoro na #Pwani.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilayani humo, Gerold Mlenge, akizungumza kwenye uzinduzi wa mradi wa maji katika kata na kijiji cha Lundi alisema uwepo wa idadi kubwa ya mifugo umeonekana kuharibu vyanzo vya maji Wilayani humo na kusababisha migogoro kati ya Wakulima, Wafugaji na ya ardhi kwa ujumla jambo ambalo linaweza kutatuliwa likifuatiliwa

Hivyo alitoa wito kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kuchukua Majina ya Mawaziri hao kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Morogoro na kuyawasilisha kwenye mamlaka zinazohusika ili kuchukuliwa hatua zaidi

....................

Morogoro leaders condemn large number of cattle in water sources

They also lodged an appeal to President Samia Suluhu Hassan to work on the allegation that there are five cabinet ministers who own large number of cattle that are behind destroying water sources that support the regions of Dar es Salaam, Morogoro and Pwani.

The ruling CCM’s district chairman Gerold Mlenge said this yesterday when speaking at the official launch of water project in Lundi ward and village.

The party district leader said the district does not have grazing area, but there are many ranchers who disturb farmers while destroying water sources

Mlenge said the presence of a large number of livestock has proven to damage water sources in Morogoro district and lead to conflicts between farmers, breeders and the land in general, which can be resolved if followed up.

Mlenge asked Water Minister Jumaa Aweso to take the names of those ministers from the Morogoro District Commissioner’s office and submit to the relevant authorities for action.

Morogoro South MP, Innocent Kalogeres said that the state in water projects for the financial year 2022/23 has received more than 1.7bn/- in various areas while fearing the contractor M/S Crossworld Logistic Co. Ltd to complete the water project on time.

The MP tasked the contractor to complete the project as early as possible so that the people can get water and fulfill the government’s dreams of bringing water closer to people.

Water Minister Jumaa Aweso said that the challenge of water, especially the deterioration of its sources, has been appearing from time to time, similar to the issue of livestock, where he promised to submit their complaint of the five ministers who own livestock in the district as it is to the president without fail.

"I have been given a special request by the leaders here, regarding the livestock challenge, I acknowledge receiving it and I will deliver it as you wanted, I am also a victim, one of the biggest challenges is the destruction of water sources," said minister Aweso.

Source: IPP Media, The Gurdian
 
washughulikiwe Kwa Sheria gani au wivu tu?
 
Hii ni kashfa sawa na uhujumu uchumi, ingekuwa zama za magufuli hawa mawaziri wangeachishwa uwaziri mara moja, hata zama zama za kikwete wangeenda na maji kama wale wa wizara zilizohusishwa na operesheni kimbunga. Wameigeuza nchi shamba la bibi wakijua hakuna wa kuwashughulikia
 
Ukiwa waziri unaruhusiwa;
Kuiba bila kushtakiwa,
Kutembea na wake/waume za watu.
Kumiliki Mali nyingi ikiwemo mifugo.
Kuwa mvivu, kutotumia akili.

Ndio maana wale wawili walionyanganywa hizo fringe benefits bado akili hazija wakaa sawa. Hawaamini kwamba wamefutwa kwenye orodha ya Wala asali. Mmoja majuzi hakuamini matokeo. Wazee wanapenya yeye nje.
 
Back
Top Bottom