Kumbe USA walianza na nyumba za Tembe pia?

Anataka kuhalalisha maisha mabaya chini ya serikali za chama
 
Marekani ni miongoni mwa mataifa machache ambayo hayakupita kwenye PRIMITIVE STAGE .
 
Hakuna camera inayo weza toa picha ya rangi kama hii kwa miaka 1800 hadi 90..
Unachoongea unakijua kiukweli au unabahatisha? Kasome tena evolution ya Camera. Hapa chini nimekuwekea picha ya Abraham Lincoln aliyopigwa 1865 na hilo eneo kweli ni Marekani na ni kweli Phoenix Arizona.

1865

Phoenix, Arizona 1870
 
Aise kumbe tumetoka mbali...

Naona waliiba design ya nyumba kutoka kwa wagogo....
Au wagogo ndio waliiba design...
 
Kwamba hata hizi nyumba za tembe tulidesa?
Na zenyewe ni wao ndio walituletea?

Nimeona kuna wanaosema wakati huo hapakua na kamera za kutoa picha za ubora huo, wakumbuke hiyo nyumba ipo eneo la makumbusho inamaana itaendelea kuba hivyo kwa miaka kadhaa ijayo.

Hiyo picha inawezakuwa imepigwa hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…