Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha moja tu mkuu!!
Mwaka 1870, Tanganyika kwa ujumla wake ilikuwa na televisheni ngapi ?
Sio kweli...
Unachoongea unakijua kiukweli au unabahatisha? Kasome tena evolution ya Camera. Hapa chini nimekuwekea picha ya Abraham Lincoln aliyopigwa 1865 na hilo eneo kweli ni Marekani na ni kweli Phoenix Arizona.Hakuna camera inayo weza toa picha ya rangi kama hii kwa miaka 1800 hadi 90..
Marekani ni miongoni mwa mataifa machache ambayo hayakupita kwenye PRIMITIVE STAGE .