Kumbe Tingatinga letu ni Manual na sio Automatic..!

Kumbe Tingatinga letu ni Manual na sio Automatic..!

Acha kujipendeza

chunga sana kinywa chako huyu ni rais wetu uwe na lugha ya staha utaishia segerea. Muda wa kampeni umeshaisha ni wakati wa kazi na wala si muda wa kubeza. Chunga sana nakuonya tu. Tumia lugha ya staha kumzungumzia rais wako.
 
Huko uwanjani lazima atimuliwe mtu.Kocha akae akijua.
 
Yani sisi watanzania sijui tunataka nini!!!!

Ilo jembe kwenye kampeni zake alitoa ahad za ku support na kuinua michezo (sanaa).

Kwa nafasi yake kusupport ni kuhakikisha kwanza anaandaa mazingira mazuri ili kiwango kipande kisha kama ataenda awe na mahali pa kuuliza kama matokeo yanakuwa sio mazuri.
Sasa kama anaenda na tukapigwa tano hiyo support yake iko wapi? Au hata huko atamfukuza kocha na kuamuru timu inunuliwe jezi mpya? Atulie afanye kazi kwa mpangilio sio kukurupukia kila kitu.
 
Harambee Stars inafungwa bao la 2 Mzee Jomo Kenyatta anashangilia.Anaulizwa tunafungwa mbona una shangilia anajibu kwani world champion wa mbio Kip Keino hayuko Uwanjani.Leo sijui.....nadhani itakuwa 1st and last kwenda taifa kuona football...
 
chunga sana kinywa chako huyu ni rais wetu uwe na lugha ya staha utaishia segerea. Muda wa kampeni umeshaisha ni wakati wa kazi na wala si muda wa kubeza. Chunga sana nakuonya tu. Tumia lugha ya staha kumzungumzia rais wako.

Mbona kama unamtisha hivi
 
chunga sana kinywa chako huyu ni rais wetu uwe na lugha ya staha utaishia segerea. Muda wa kampeni umeshaisha ni wakati wa kazi na wala si muda wa kubeza. Chunga sana nakuonya tu. Tumia lugha ya staha kumzungumzia rais wako.

Acha vitisho ww wapi ametaja jina la mtu nyie ndio wale mnaojipendekeza jinga kabisaa
 
Wapi nimemtaja au kumkosea raisi wa wasafi!?
We Sharobaro vipi?!
Nenda kashtaki TCRA kama unahisi nimemtukana raisi wako.
 
Acha vitisho ww wapi ametaja jina la mtu nyie ndio wale mnaojipendekeza jinga kabisaa

Wewe ndo bozongwa kabisa,ni kweli aache na wewe pia uache kutoa lugha zisizofaa vinginevyo....!!! Usije kumlaumu mtu. Mnajifanya majasiri kweli mkiwa kwenye keyboards wakati kwenye hali halisi ni mbwa koko tu
 
Yani wewe sijui unaishi Tanzania gani!!
Hivi hauoni kwenda kwa magufuli Muhimbili kumeokoa maisha ya wengi!!

Kwa kuagiza zile mashine zipone na imepona bdo CT scan ndio imebainika tatizo na linatafutiwa solution na philips.
Na pia imeingeza umakini kwa madaktari na Wauguzi kwa ujumla.

Kufika kwake uwanjani ndio kutamfanya kuzijua na kuziona changamoto za mchezo wa mpira wa miguu.

Kisha atapata fursa ya kujadili na viongozi wa shirikisho la soka kwa kujadili changamoto hizo na kutafuta ufumbuzi wake.

Hiyo na awali tu, Dr.JPM ni jembe kama ulivyo sema utaiona kazi yake.

Mkuu we ujajua kuwa unaongea na mbumbumbu?
 
Wewe ndo bozongwa kabisa,ni kweli aache na wewe pia uache kutoa lugha zisizofaa vinginevyo....!!! Usije kumlaumu mtu. Mnajifanya majasiri kweli mkiwa kwenye keyboards wakati kwenye hali halisi ni mbwa koko tu

Nyie ndio wale wale wajinga haya kafue boxer yake upate cheo
 
Na kwa sababu anaenda uwanjani na Timu inafungwa ni aheli tu asingeenda kujiaibisha
 
Hakuna kitu pale! Remote control ni Msoga estate!

Mkuu GreenCityI support your remark! Coupled with bulldozer's naive exposure in bulldozing, the're a lot of stones which could be left unturned. Or in simple language there are many tunes that'd be left unplayed because the piper doesn't want to hear them.
 
chunga sana kinywa chako huyu ni rais wetu uwe na lugha ya staha utaishia segerea. Muda wa kampeni umeshaisha ni wakati wa kazi na wala si muda wa kubeza. Chunga sana nakuonya tu. Tumia lugha ya staha kumzungumzia rais wako.

Sasa na mtu alie tarime segerea inamuhusu vip?
 
Hizo chuki za wapumbafu hatuna umuhim nazo, kama bado upo ktk KUNDI LA NYUMBU ndugu shtuka, HILO NDILO JEMBELETU MJIPANGE UPYA
 
Sio siri kuwa mzalendo ni kitu kizuri, ila lazima kuwe na vipaumbele katika uzalendo. Si busara kua mzalendo katika kila kitu eti kwakua kimefanywa na wazawa.!

Katika uchumi kuna kitu kinaitwa "Scale of Preference" na kingine "Opportunity Cost".
Sidhani kama mapema hii Jembe lingepelekwa uwanjani kushangilia mpira na wakati sehemu kibao nchini bado hazijalimwa. Mstaafu angeenda uwanjani pekeake bila kubebelea jembe letu.

Jamani jamani ninasisitiza bado mapema!
Limelima Dar kidogo sana, Mikoani na Visiwani nako kuna magugu jamani!
Lingelima kwanza afu wakati wa kusubilia mavuno ndo wangeenda nalo viwanja.

Mdogo mdogo Tingatinga lishaanza kutolewa kwenye malengo, kesho kutwa utasikia limesepa mambele kufanyiwa service.

Mheshimiwa IQ Warehouse umepost kipande cha wisdom ambacho ni more parabolic na kwa bahati mbaya wachangiaji wengi hawajakuelewa.

Ila, kuna watu kama
GreenCity, Gulwa, Bak byzo I.T, Bujibuji, J C, The Boss, na Chakaza, wamekuelewa. Wengine ndo tunasisitiza elimu, elimu, elimu lakini wanakalia ushabiki.

JARIBU KUWAANDIKIA KWA URAHISI ZAIDI NAO WANUFAIKE. Mfano umeongelea 'Katika uchumi kuna kitu kinaitwa "Scale of Preference" na kingine "Opportunity Cost"' wangapi hapa wameweza ku relate na sentence hiyo na kazi ya tinagatinga mannual??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom