FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,416
- 7,828
Hiyo ndege isiyo na rubani (Drone) unayosema ni kwaajili ya Surveillance. Haina silaha zozote na ni Non-Stealthy.Hiyo Drone ya Marekani iliyotunguliwa na Iran hutumia technologia ya stealth na ni ya gharama sana. Marekani hawakuamini kama Iran ingeweza kuiona na kuitungua, lakini ilidondoshwa na kombora la bei rahisi tu lakini la teknologia kali.