Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,957
- 8,073
Russia ni jeshi la mtu 1
Mtumeeee!!!!!!S-500 is on the way....inakimbia zaidi ya mwanga wa jua
Wewe unaonekana kichwa maji .balaaaaaaaHiyo bajeti mara 4 usifananishe na pale ufipa wana bajeti kubwa ya kukodi jengo la nyumba nzima hali ya kuwa wanaweza kodi hata vyumba 2 mwaka huu na mwakani wakajenga lao,pale marekani bajeti kubwa wizi mtupu ila kwa mrusi hiyohiyo bajeti ndogo wenye uelewa kama waturuki wananunua vifaa,russia sio wa dunia hii kiteknolojia.
Mtu upo Isongole unahangaika na silaha za USA vs Russia. Smdh
Natamani kukuuma,kwa kuwa hujui ulichokiandikaVITA NI TECHNOLOGY, TECHNOLOGY N UCHUMI. BAJETI YA MAREKANI BILA HATA VITA NI MARA 4 YA BAJETI YA URUSI. KWA LUGHA NYINGINE MAREKANI INAMUDU GARAMA ZA VITA MARA 4 YA URUSI. KUPIGA KOMBORA MOJA TU NI MILLIONS OF DOLLARS, PIA KUZUIA KOMBORA MOJA NI MILLIONS OF DOLLARS. PIA MAREKANI INA USHAWISHI MKUBWA DUNIANI KULIKO URUSI. PIA MAREKANI HAJAFUNGUA HAZINA YA SILAHA, HIZO S500 ANA KAMA HIZO MUDA, KAWEKA STOO.
Because of its capabilities, several countries including China, Saudi Arabia, Turkey, India and Qatar have said they are willing to buy the S-400.Wa-marekani wa kwa mtogole watapinga
Why do countries want to buy the Russian S-400?Kitendo cha Uturuki kuamua kuanza kupokea makombora ya s-400 ya Urusi, kimemfanya Marekani akiri hadharani hofu yake kuwa silaha za Urusi zikiwa karibu na zile ndege zake za F-35 ambazo Uturuki pia alishazilipia, kutasababisha udhaifu wa zile ndege kugundulika!!!! Sasa najiuliza kwa nini asingesema tutagundua udhaifu wa zile S-400 Russian anti-missile defence system. Hii inaonyesha Marekani hajiamini kabisa kwa silaha zake, na ameamua kutokuziachia ziende Uturuki kwa hofu siri ya udhaifu wake itagundulika. Hii imedhihirisha kuwa Marekani anafahamu kuwa ndege zake zina udhaifu mkubwa na anawauzia "marafiki" zake kwa bei kubwa sana hiku akijua ni kama toy fulani vile!!! Marekani ni vitisho tu lakini mbele ya silaha za mbabe wa ukweli analia lia mpaka anatia huruma. Msikilize anaposema hapa BBC: The officials said they did not want the F-35 jets to be near S-400 systems because they feared Russian technicians would be able to access the F-35's vulnerabilities.
Mimi ningedhani Marekani angefurahia mshirika wa NATO kuwa na silaha za Urusi ili iwe rahisi kwake kuchunguza udhaifu wake>.
|
Several countries including China, Saudi Arabia, Turkey, India and Qatarhave said they are willing to buy the S-400. [Vadim Savitsky/AP] |
The Drone Iran Shot Down Was a $220M Surveillance MonsterHahaha! Si kwamba nazipamba. Hiyo Drone na hizi ndege nyingine za kivita ni tofauti kuanzia kimuundo, kazi zake na uwezo wake pia.
Ulrike Franke, European Council on Foreign Relations"There could always be super secret spy tech onboard that we don’t know about."
Hiyo ndege isiyo na rubani (Drone) unayosema ni kwaajili ya Surveillance. Haina silaha zozote na ni Non-Stealthy.
Hivi unadhani Urusi akipeleka S-400 Cuba au Venezuela Marekani atakaa kimya? Mimi nimeweka wazi tu kile Marekani wenyewe wamesema kuwa udhaifu wa F-35 utakuwa wazi mbele ya Urusi kama zikikaa karibu na silaha za Urusi.
kwa hiyo kwa sababu iko tofauti na hizo ndege nyingine za kivita haikustahili kupigwa? au ina haki ya kuingia anga la adui na kufanya ujasusi?au sio chombo cha kivita? imeonewa?Hahaha! Si kwamba nazipamba. Hiyo Drone na hizi ndege nyingine za kivita ni tofauti kuanzia kimuundo, kazi zake na uwezo wake pia.