Baada ya kuzichakaza kwenye uwanja wa mapambano: Urusi yaziponda silaha za NATO

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Marekani na nchi zingine za NATO zilipeleka silaha nyingi sana ukraine kama maandalizi ya kujibu mashambulizi na kurudisha tena majimbo yaliyotekwa na urusi. Lakini silaha hizo nyingi ziliishia kwenye mdomo wa mamba!! Nyingi zililipuliwa na zingine kutekwa!! Magari ya kivita ya marekani yanayoaminiwa kuweza kupita kwenye sehemu iliyotegwa mabomu na kuyategua, yalipojaribu yaliishia kuchomwa moto!!

Waziri wa ulinzi wa urusi amewaambia watu waliohudhuria maonesho ya zana za kivita za urusi kuwa silaha za magharibi ziko overated na huwa haziwezi kuhimili vishindo vya silaha za kirusi. Amewaambia wajionee wenyewe silaha zilizitekwa jinsi zilivyo bila ubora katika hali halisi ya kivita!!

Russian defense minister questions quality of Western weaponry​

Foreign arms supplied to Kiev have proven to be far from perfect amid the fighting in Ukraine, Sergey Shoigu said.
Western weapons that have been delivered to Ukraine have not performed as they were expected to on the battlefield, whereas Russian arms have proven their effectiveness, Russian Defense Minister Sergey Shoigu claimed on Monday.

Speaking at the opening ceremony of the annual Army 2023 military-technical forum, Shoigu stated that many new innovations from his country's military-industrial complex are already being deployed on the battlefield to assist troops in carrying out military operations in Ukraine.

“In real conditions, our weapons show their reliability and effectiveness,” the minister said. “At the same time, the widely advertised Western equipment turned out to be far from flawless in reality,” he added. Shoigu suggested that guests of the forum could see this for themselves by checking out the collection of captured Western weapons on display at the expo.
 

Russia to put destroyed NATO equipment on show near Western embassies​

Reuters
July 12, 20234:53 PM GMT+3Updated a month ago
 
Mpaka sasa kashindwa weka pua Kiev bado anaongea pumba ingekuwa namna hio ungekuta leo yuko kiev
 
Back
Top Bottom