Aah you mean wewe ni Bitozi? Basi ndiyo sababu mkuuNilienda mdogo mdogo sana sema nadhani matozi sio pigo zake
Kimavazi yap ila hata siku hiyo ilikuwa tunaangalia hiphop battle za kina niki mbishi pale british council,kwenye tv nlikuwa namuona sister tu ,live nilipanic kazuri et ila swaga za kiume balaa skukaza maana nyuma alikuwa na wahuni balaa basi mnyama mkali nkaondoka na aibu yangu kimasta,ila kitambo last time nimemuona kidimbwi tukaangaliana tukapishana naona kama unaudada kidogo,Aah you mean wewe ni Bitozi? Basi ndiyo sababu mkuu
Basi nikajua kuna ingizo jipya town ambalo silijui kumbe ni salama JSalama ni binti?
Vizuri kabisaNa unafurahia
Mi nilidhani mwanaume wa kiskochi,kwa maana wanaume huvaa visketi kama alichovaa huyu kijana
Kama jamaa Sura ngumu Hilo hakuna ubishi anamla.Kuna jamaa mmoja kama mmasai(mshobokeaji watu maarufu)ni mpiga picha maarufu kila siku yupo nae. Huyo anaweza kutoa connection.
Akitokea mwanaume ataolewa.
Huyo duu sijui kama pipe anaisikilizia ana mikato ya ajabu ajabuAlikua anatoka na AY chini chini na yeye ana moyo hivyoo
Huyu ni mpemba tu aliekengeuka na Western culture hana uhusiano wowote na msoga kingHivi huyu siyo mtoto wa Msoga kweli aseee