Nionyesheni kwao tafadhali nimtume mshengaAkitokea mwanaume ataolewa.
kalisemaje 😆😆Niliwahi mtongoza asee hayo màjibu alinipa shit mbaya
Kwanza ananijibu kisela et unajua unazingua ujue hebu jikatae, kuinua macho nyomi inacheka mtumbadi nkasepa na aibu kuukalisemaje 😆😆
hongera sana mwamba, ilibidi umtokee kila mara mkikutana mpaka akukimbieKwanza ananijibu kisela et unajua unazikua ujue hebujikatae, kuinua macho nyomi inacheka mtumbadi nkasepa
Huwa kana kampan za wanyama wakali sana sasa fighter nilipoona sjasomeka nkachimbahongera sana mwamba, ilibidi umtokee kila mara mkikutana mpaka akukimbie
hiko kiumbe hakiwezi kuelea peke yake bila tagi, katoto karembo sana hakoHuwa kana kampan za wanyama wakali sana sasa fighter nilipoona sjasomeka nkachimba
Tudokezee kidogoNiliwahi mtongoza asee hayo màjibu alinipa shit mbaya
Nimedokeza hapo juu kifupi kaliniaibisha mtumbad mmTudokezee kidogo
Niliwahi mtongoza asee hayo màjibu alinipa shit mbaya
Ila mkuu bhana hili jina la id yako kila nkiisoma najikuta nshaweka "n" katikati ya 'o' na 'gwe' 😂😂😂nionyesheni kwao tafadhali nimtume mshenga