Wanawake wengi wa kizungu wana miguu mizuri, minene kuliko weusi

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,109
34,066
Habarini Wadau,

Nimefanya Utafiti kwa muda mrefu na kugundua kuwa Wanawake wengi wa kizungu kutoka US na bara la Ulaya wana miguu mizuri, minene na yenye afya kuliko wanawake weusi wa Afrika

Nilifanya Sampling kutoka kwny population ya Wanawake wa mabara manne yaani Africa, Asia, America na Europe na kugundua hilo

Kwa Upande wa Asia utafiti kidogo unaonesha Wajapan na Wachina wana miguu mizuri kuliko Wahindi, Wafilipino, Wathailand, Indonesia n.k

Sijamaliza Utafiti na kupata majibu, so ninawauliza wadau hapa

Hivi sababu ni kufanya mazoezi, vinasaba (genetics) au hali nzuri ya kiuchumi na chakula navyo huchangia?

images%20(44).jpg
images%20(43).jpg


View attachment 2785999
 
Habarini Wadau,

Nimefanya Utafiti kwa muda mrefu na kugundua kuwa Wanawake wengi wa kizungu kutoka US na bara la Ulaya wana miguu mizuri, minene na yenye afya kuliko wanawake weusi wa Afrika...
Huwajui wazungu uzuri mwanangu. Nenda kayapakue manonihino ndiyo utajua uzuri wao nyambaff unayekosa kujithamini. Wazungu wanavyobagua mtu mweusi unadhani dada zetu wangekuwa hawana madini wangewaoa?
 
picha moja ya mzungu unafananisha na picha moja ya muafrika.
Emu njoo tukueleze sisi tulioishi na wazungu tukupe ABC.
Mimi ninaishi nao hata hivi sasa...lakini wako hivyo na hata wakija ndugu zao...means cousins, sisters...wapo hivyo

Wanapenda sana Gym ndio maana nikataka kujua is it a reason au ni suala la genes
View attachment 2784779
 
Back
Top Bottom