kufanya siasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Watu wapimwe IQ kisha wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa.

    Hapo VIP! Nashauri serikali iandae taratibu za kupima IQ za wananchi wake ili wenye IQ kubwa wapewe leseni ya kufanya siasa. Kisayansi MTU mwenye IQ ndogo hanauwezo wa kutatua matatizo Yake mwenyewe Na katika jamii. Nimechunguza Na kutafiti siasa katika nchi yetu Na Kwa Afrika kwa jumla ila...
  2. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Uamuzi kuifungia CHADEMA kufanya siasa kutolewa Agosti 28

    Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam inatarajia kutoa uamuzi wa maombi madogo ya zuio la kufanya shughuli za kisiasa kwa CHADEMA Agosti 28, 2026 saa tisa alasiri. Maombi hayo yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Said Issa Mohammed na Ahmed Rashid baada ya kesi waliyokuwa wameifungua...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rai ya Jenerali Ulimwengu: UanaHARAKATI ndiyo njia sahihi ya kufanya siasa, vinginevyo ni utapeli wa siasa kusaka tonge kupitia vyama vya siasa

    Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utambulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Chama kilichosusia uchaguzi kinaachwa vipi kufanya siasa??

    Hivi msajili wa vyama vya siasa sheria yake inaruhusu vyama vya siasa vinavyohamasisha vurugu bila kushiriki uchaguzi?
  5. Heparin

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya rufani yairuhusu CHADEMA kuendelea na shughuli za kisiasa nchini

    Mahakama ya rufani kanda ya Dodoma imetengua maamuzi ya Mahakama kuu yaliyoizua CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa nchini katika kesi iliyofunguliwa na Said Issa na wenzake dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa chama na Katibu Mkuu, maarufu kama kesi ya Mgawanyo wa mali za chama. Sasa CHADEMA ni ruksa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Samia ndiye alitoa ruhusa ya kufanya siasa?

    Miaka yote nilifikiri suala la kufanya shughuli za kisiasa hapa nchini ni takwa la kikatiba kumbe ni ruhusa ya Rais. Amesema mwenyewe huko kwenye mkutano na wazee wa Dar es Salaam.
  7. Sci-Fi

    JamiiForums Tanzania Kujitenga na Siasa ni Kufanya Siasa

    Habarini wanaJF, mara kadhaa nimekua nikijiuliza. Hivi kweli inawezekana mtu akaamua kabisa kabisa kijitenga na siasa?? Nimekuja gundua kwamba, kwa hali ya kawaida kabisa, "hapana", haiwezekani mtu kujitenga na siasa, kwa sababu siasa ndiyo inaunda mfumo unaogusa kila kipengele cha maisha ya...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 5 Polepole alizunguka nchi mzima kuinadi CCM na Magufuli, upinzani walikatazwa kufanya siasa 2020 bado wakapora uchaguzi

    Swali kwa Polepole: Unaposema mwaka huu hakuna uchaguzi bali kuna viinimacho, mwaka 2019 na 2020 kulikuwa na nini? Hamjaandaa mabox mawili moja mkawapa walimu na watendaji wajaze kura usiku? Mliogopa nini kama kwa miaka 5 mliweza kufanya siasa peke yenu huku wapinzani hata kwenye vikao vya...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mzee Cheyo ana familia kweli? na kama ipo wajitafakari kwa hali hii aliyonayo wanamruhusu vipi kufanya siasa badala kupambania Afya yake

    Naomba Familia ya Mzee Cheyo imzuie Ndugu yao kuangaika na mambo ya siasa ambayo hayana tija kwake. Namshauri apambanie Afya yake kwanza. Itakuwa aibu mzee wao kupata madhara na kumsababishia matatizo zaidi ya kiafya. https://www.facebook.com/share/v/1Akh38Vb5f/
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Isihaka Mchinjita kuhusu Luhaga Mpina, asema ACT Wazalendo inawakaribisha watu wote waliokosa fursa kwenye vyama vyao

    Wakuu Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara, Mheshimiwa Isihaka Mchinjita, kupitia mahojiano na kipindi cha Supa Breakfast, amegusia uvumi unaosambaa mitandaoni kuhusu Mbunge wa zamani wa Kisesa, Luhaga Mpina kujiunga na ACT Wazelendo na kusema wanamkaribisha wakati wowote.
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Naomba nakala ya hukumu ya Jaji Mwanga iliyokataza Chadema kufanya siasa

    Nimefuatilia mapambano kati ya polisi na Chadema, kwa sababu ya hukumu ndogo iliyotolewa na Jaji Hamidu Mwanga hivi karibuni. Jaji Mwanga, anasikiliza Kesi Namba 8323/2025, iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Zanzibar, Said Issa Mohammed, dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya CHADEMA na...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Rasmi Viongozi wote wa Chadema wapigwa stop kufanya siasa

    GT Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama. Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema anapaswa kufanya siasa kuanzia ngazi ya kitongiji aha ha 😄 🤣 😂 😆 Dunia simama...
  14. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Nini kitawakuta wanachadema wakishiriki uchaguzi huku mahakama imewazuia kufanya siasa?

    Viongozi wa Chadema wamezuiwa kushiriki siasa kinyume na katiba ya nchi inayotoa haki ya kila raia kuchagua na kuchaguliwa! Sasa endapo watashiriki kusikiliza kampeni ya mgombea yeyote yule litakuwa ni kosa la jinai? Watanzania tuna majaji wa aina gani wanaovunja katiba ya nchi ili mradi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanisa la FPCT lawataka watia nia kufanya siasa safi

    Baada ya Serikali kutangaza kuvunja mabaraza ya madiwani kote nchini huku Juni 27 mwaka huu Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kuvunja Bunge 12 ili kupisha mchakato wa uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba mwaka huu Kanisa la FPCT Tanzania limewataka viongozi...
  16. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Viongozi wa Dini ndio waasisi wa siasa na ubunifu wa fikra za kupigania uhuru Tanzania. Sitoacha kufanya siasa

    Sheikh Ponda akizungumza na wananchi mkoa wa Temeke katika mkutano wa ACT Wazalendo amesema kuwa Viongozi wa dini kushiriki siasa linatafsiriwa kama jambo geni kwa sasa, lakini kiuhalisia siyo geni. Katika Historia ya nchi yetu, chama cha kupigania uhuru kimeanza 1929 cha Africa Association...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  18. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mwezi na nusu tu wa kufanya siasa!

    Hadi Sasa badala ya kutafuta walipojikwaa humo ndani mwao, wanakazana na siasa za kuchoganisha Dola na Makanisa. Kampeni hii kwa ukweli imebuma maana hakuna Kanisa lililoshawishika kwa utoto wao hui. Hii imebuma frankly speaking. Hakuna hata chama kingine Chochote kiliungana na CHADEMA...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Chadema uitishe kikao cha dharura, nchi imekuwa na matukio mengi sana mpaka tunashindwa kufanya siasa kuelekea uchaguzi wa mitaa

    Nashauri vikao vifanyike, kila siku tukijiandaa kupiga propaganda zetu, tukio linatokea mpaka tunakata tamaa. Hatuwezi kuyazuia, sasa sijui tufanyeje. Wiki hii yote tutajadili mambo ya Morroco 2025, mpaka kumaliza mjadala, uchaguzi wa mitaa umekwisha. Tunaingia kwenye michango ya Niffer na...
  20. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hivi Jeshi la Polisi linatumia kisingizio Cha intelelejinsia kuminya haki ya kufanya siasa Kwa chama Cha CHADEMA?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni haki ya msingi Kwa chama chochote Cha siasa kufanya maandamano ya amani Ili kufikisha ujumbe muhimu Kwa serikali inayotuongoza. Hata hivyo haki hiyo imekuwa ikiminywa na watawala Kwa kulitumia Jeshi la Polisi, Kwa kisingizio tu Cha...
Back
Top Bottom