Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Naona kwa uoga wako imebidi uje na ID mpya. Mruma kafanya uchunguzi kaja na majibu that is science bwana hakuna longolongo.
Leo unamuongelea vipi Prof Mruma?
Naona kwa uoga wako imebidi uje na ID mpya. Mruma kafanya uchunguzi kaja na majibu that is science bwana hakuna longolongo.
Na uprofesa atakuwa kapata kimagumashi.Atasemaje yupo busy wakati hiyo kazi kaikubali kama angeona hawezi majukumu si angejiuzulu awape wengine kazi.Mwambie aje Sasa apangue hoja zake, profesa Gani unasainishwa kitu bila kusoma idiot professor!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Njoo profesa mwizi amekamatiwa hukuu, ripoti magumashi kama alivyo profesa magumashiMods mnaachaje thread za kijinga namna hii? Eti ripoti magumashi. Huu Sasa si upinzani tena, ni uadui dhidi ya Watanzania
Profesa siyo Munguwatu wajue kumpinga profess unapaswa kuwa na data siyo poyoyo za hovyo hovyo!! Skuiz hata poyoyo std 7 anataka kumfundisha profesa kazi
Njoo utuambie nani ni mnafiq kwa snario ya Jana bungeniWewe ni mnafiki Sana, na ni mamluki mkubwa kabisa wa wazungu.
Huko mwadui kuna tume yoyote iliundwa kiasi kwamba Prof Mruma akaibeba Mwadui? ulitaka afanyeje Prof? kwani alikuwa rais kipindi hicho? Hivi vijisenti mnavyohongwa na hayo majambazi zitawatokea puani.
Uliambiwa uwe Na subira mkuuUmetumwa mambo ambayo yamekuzidi uwezo, 'subilini' ndio mdudu gani?!
Mkuu kama nakuona uso ulivyokushuka.Umefungua Id Jana kuja kubwabwaja hapa
Mfa maji haishi kutapa tapa Mruma na timu yake wamefanya tafiti na kupima lab
Hebu wewe tupe report yako uliyoifanyia kazi ,
Mmeshikwa pagumu na bado mtafungua id mpya kila siku
Lumumba hakuna msafi kinachofanyika ni timing tu.Lumumba wamepoteanaTeh teh lumumba mko wapi mbwa kala mbwa uku
Jamaa kapotea anachungulia tu Uzi kuchangia anaona aibuMuombe mleta mada radhi wee pimbi
Pogba wa tz nchi imekushinda!
watu wajue kumpinga profess unapaswa kuwa na data siyo poyoyo za hovyo hovyo!! Skuiz hata poyoyo std 7 anataka kumfundisha profesa kazi
Haya maprofesa ya Tanzania ni ya kunyongaaaaa mpaka yafee tuanze upyaaa! Tujue tu nchi haina profesa idiotNa uprofesa atakuwa kapata kimagumashi.Atasemaje yupo busy wakati hiyo kazi kaikubali kama angeona hawezi majukumu si angejiuzulu awape wengine kazi.
Huyo ni Propesa siyo profesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tusibiri kama atabadili gia angani,Leo utabadilika
Na uprofesa atakuwa kapata kimagumashi.Atasemaje yupo busy wakati hiyo kazi kaikubali kama angeona hawezi majukumu si angejiuzulu awape wengine kazi.
Huyo ni Propesa siyo profesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaani huyu mruma Bora tu huo uprofesa tumpe Kibajaji au shishi baby! Swala kusaini bila kusoma nani atashindwa¿¿??? Hata Joseph kasheku msukuma mbunge wa Geita vijijini anaweza bhana!watu wajue kumpinga profess unapaswa kuwa na data siyo poyoyo za hovyo hovyo!! Skuiz hata poyoyo std 7 anataka kumfundisha profesa kazi
We utakuwa 'mwanga', uko fasta balaa hahahaha ila kaburi hili mzoga wake ulikuwa haujaoza sanaTunafukua makaburi
kama bashitte std7 afu anasumbua maproowatu wajue kumpinga profess unapaswa kuwa na data siyo poyoyo za hovyo hovyo!! Skuiz hata poyoyo std 7 anataka kumfundisha profesa kazi