7spirits
JF-Expert Member
- Dec 1, 2015
- 612
- 514
Tuliamini hivyo zamani wakati shule zilipokuwa bado moja kwa wilaya au mbili mkoa mzima ila kwa usomi wa sasa nadhani unaona kabisa kuwa uprofesa umepoteza hata hadhi yakeDawa ya Profesa ni Profesa! Kwa hiyo usitegemee kumchafua Profesa kwa post zako kama wewe siyo Profesa. Atapangua zote na kukuacha unaficha uso wako kwa aibu.