Kumbe Prof. Mruma si mzalendo kama wengi wanavyodhani

Unajua Prof Mruma alishastaafu miaka 2 iliyopita, yuko kwa mkataba nadhani hapo GST. Hata ingekuwa mimi lazima nipambe taarifa yangu ili angalau niteiwe kuwa balozi au Mkiti mahali, chezea maprofesa wewe! Alipika taarifa ikapigika na akajitahidi kuisoma kwa hasira ili umma umuone shujaa
Na mda wote TBCCM walikua wanachagiza. Wanasayansi wazalendo. Wamefanya kazi kizalendo. Wameleta ripoti ya kizalendo. N.k. Kumbe wana maana yao ya uzalendo.
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Ni vyema sasa kurunzi lianze kummulika
 
Sijaelewa kitu hapa. Hivi ripoti hii ni ya kwake au ya wataalam karibu kumi ambao walishirikiana kufanya tafiti ile. Usitake kutuletea imani tofauti na yaliyotokea.lengo lako ni nini hasa!
 
! yu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Inawezekana kabisa ukawa umetumwa na hao wezi !
 
Itatugharim sana kwasababu raisi ni mnafiki wa kupindukia, ameshiriki mabalaza ya mawaziri karibia awam tatu mbona hajawahi kulisemea? Kwasababu angeanzia huko ingekuwa vizuri, tena wenzie wasingemfukuza kwa kuwa wanaakili timamu, suo kama yeye, ukimpinga tu, anakufukuza....Ndio maana nasema, huu ni unafki wa hali ya juu na kupenda kuonekana wakati mtu kaishindwa nchi toka day 0, thisi is the primitive kind of leadership, a shame and all related unleadership words
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...

WdlMember

Joined: Yesterday
Messages: 18
Likes Received: 6
Trophy Points: 5
Kusajiliwa jana tu, tayari leo umekuja na umbea!...
 
Kwa hili nakupongeza. Umefikiria mambo outside the box. manake inakuja mijitu humu kutafuta kiki naada ya kupewa vipesa uchwara ili wajaribu kutushawishi tuache kum support serikali kwa maamuzi yake. kajiunga jana tu leo anataka kukutungia uongo mtupu hapa
 
Itatugharim sana kwasababu raisi ni mnafiki wa kupindukia, ameshiriki mabalaza ya mawaziri karibia awam tatu mbona hajawahi kulisemea? Kwasababu angeanzia huko ingekuwa vizuri, tena wenzie wasingemfukuza kwa kuwa wanaakili timamu, suo kama yeye, ukimpinga tu, anakufukuza....Ndio maana nasema, huu ni unafki wa hali ya juu na kupenda kuonekana wakati mtu kaishindwa nchi toka day 0, thisi is the primitive kind of leadership, a shame and all related unleadership words
Nadhani wewe ndio primitive as you speak. Unataka kumlaumu waziri. Kwa nini usianze na viongozi wa juu na hasa Mawaziri wakuu ambao ndio viongozi na wasimamizi wa shughuli zote za serikali. Anza na hao ndugu. Usitake kudandia gari kwa mbele kama unataka kujenga hoja yako kwa staili hii
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Wew umetumwa na akina lisuuu
 
Naona kwa uoga wako imebidi uje na ID mpya. Mruma kafanya uchunguzi kaja na majibu that is science bwana hakuna longolongo.
Uongo mtupu, yule hajafanya chochote nakuambia. Subilini muone yatakayotokea.
 
Angekuja na hoja yakinifu wala nisingesema ana bwajaja ila kusema ripoti ya magumashi nimeamua kumuita ana bwajaja Mruma na team yake wamefanya uchunguzi ,wamepima wamefanya lab work nilidhani angetoa critical points kupima ripoti iliyofanyiwa lab work ila kaishia kubwajaja

Huenda we ,mtoa thread mna ubia na acacia
Ndio zenu mkipingwa, mnakimbilia kumbatiza mtu ukoo!! Poleni sana.
 
Mmeona hamuoni upungufu kwenye ripoti yake imeanza kutafuta mapungufu yake binafsi watanzania nani kawarogogaa mbona wa gumu sana kukubali ukwery
 
Back
Top Bottom