Kumbe Prof. Mruma si mzalendo kama wengi wanavyodhani

Kumbe Prof. Mruma si mzalendo kama wengi wanavyodhani

Usikute ni haya makampuni yameingilia kumchafua..lakini serikalini mambo ni balaa..mtu anasingizia mwenzie uongo tu
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Mkuu kuna watu inabidi wakuombe radhi humu
 
Ishu ya magwangala/makinika haijawahi kumuacha mtu salama.

Hii nchi kila mtu haya alie serikalini hasa idara za juu ni mwizi. Sema ndio vile mmoja akipata platform anamnaliza mwenzake. Hakuna alie msafi.

Noma.

Huo ndio ukweli ni wapigaji tu wote.... wakamataji wezi leo ndio wezi wa jana..
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
..sasa yametimia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wajue kumpinga profess unapaswa kuwa na data siyo poyoyo za hovyo hovyo!! Skuiz hata poyoyo std 7 anataka kumfundisha profesa kazi
..Lakini kumbuka pamoja na uprofesa wake lakini bado ni binadamu tu kama yeyote mwingine na binadamu yeyote kukosea ni jambo la kawaida mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo bado hawajakubaliana na acacia kutafuta mchunguzi huru wa makontena ya copper concentrate na watoe ripoti kamili ya makinikia, kiukweli kuna watu wataikana hiyo ripoti. Lakini serikali haiko tayari kufanya hili kwani hawako tayari kuumbuka na hili jambo ndio suala linalokwamisha majadiliano na barrick kwani serikali imekataa makinikia kupimwa upya na kukataa kutoa ripoti nzima ya akina Mruma na Ossoro. We are frustrating the investors no one ataathirika ila ni sisi wenyewe....Ndugu zetu wanapoteza ajira , tunapoteza fedha za kigeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwani kuna nini mbona ni profesa mruma everywhere? kakobe mambo kama haya huwa anasema "its just a matter of time", kila lililofichwa uvunguni litawekwa mezani na kila mtu atatoa hukumu yake wazi wazi. bila yutube tusingemsikia mruma anababaishwa na yule dogo wa kizungu.
 
Back
Top Bottom