Kumbe Prof. Mruma si mzalendo kama wengi wanavyodhani

Kweli mkuu, inasikitisha maprofesa kudanganya watanzania kwa kiasi kile, ..tx shame kwa academicians wa kitanzania n namsifu sana muhongo na ntalikwa kukataa huu uongo
Acha nlah blah njoo.na hoja za kisayansi dhidi ya ripoti.
 
Tena kwa makontena 277 tu,
Kawaulize waliokutuma waambie tumekuuliza kuwa kama mchanga hauna gold ya kutosha inakuwaje 45% ya mapato yao yanatokea huko kwenye mchanga?
 
Kw
So sad 4 u, ripoti ingesomwa siku ya fools day naona ndo ungeamini umedanganywa. Shida moja hamjishughulishi hata kugoogle utabaki kukaa na ujinga wako.
Hiyo method unayotumia iko based on google? What nonsense is this?
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Kwa hiyo kwani kwenye tume yeye peke yake ndio mtoa maagizo yote,acha kutuyumbisha sisi tunakomaa tu na mapendekezo ya tume ,hayo mengine ni porojo tu
 
Endelea kukomaa wajinga ndiyo waliwao
 
Kw

Hiyo method unayotumia iko based on google? What nonsense is this?
Nimekuambia uanzia kugoogle upate uelewa kuhusu makinikia then urudi kwani unaonekana ni mweupe kwenye hii ishu
 
Sound too low!
Wewe kula posho yako uliyopewa na hao wezi uendelee kuwatetea. Lkn hujui lolote zaidi ya kutumwa kupotosha ukweli.
 
Mkuu Wdl umejiunga jana tarehe 2 JF, ngoja kwanza tumalizie UCL usiku tutakuja kukukalibisha vizuri
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Kwanini uulize haya baada ya Tume ya Uchunguzi kutoa matokeo yake? Kama ungekuwa unamfahamu vizuri si ungepinga pale tu alipoteuliwa ?, sasa kutujulisha kuwa Mruma eti hakidhi vigezo kwamba yeye pia siyo mwamunifu, baada ya tume yake kutoa majibu huoni unajidhihirisha jinsi ulivyo mjinga na wa ovyo na mpenda majungu? Huenda wewe ni Li-Chadema. Kwani Machadema hupinga kila kitu hata kama ni cha msingi. Wewe unaleta madai kuwa Mruma ameshiriki kwenye wizi wa Almas ya Mwadui, je kwa utafiti upi? Nani mwizi, aliiba akapeleka wapi? Uchunguzi gani uliogundua wizi huo? Matokeo ya wizi huo yalitoka lini? Nani mwenyekiti wake wa uchunguzi huo? Ilikabidhiwa kwa nani report hiyo? Jibu maswali haya ndipo tuamini kuwa wewe siyo mpenda Majungu.
 
Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI,

Umeshindwaje kuleta mada mwenyewe ukiwa hauna uhakika n uliyoyaandika!? Umeshindwaje kusaka ukweli kwanza? Watu kama nyie ndio wakurupukaji haswaaa, hii mada lengo lako la ajabu yaani limekaa kidaku zaidi.
 
Unajua Prof Mruma alishastaafu miaka 2 iliyopita, yuko kwa mkataba nadhani hapo GST. Hata ingekuwa mimi lazima nipambe taarifa yangu ili angalau niteiwe kuwa balozi au Mkiti mahali, chezea maprofesa wewe! Alipika taarifa ikapigika na akajitahidi kuisoma kwa hasira ili umma umuone shujaa
Na ile ya mwakyembe mlisemaje vilee?
ila ile iliyoteuliwa na Nape Nauye kwa Rc wa Dar ndiyo ilikuja na taarifa sahihi na kamili...!!!
by the way kuna watu wanachunguzwa na vyombo vya dola kwa yale yote waliyoyafanya so hatushangai wanufaika wao wakija hapa kubwatabwata hovyo..
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
kwanini unaharibu jf kwa kufungua mi id kila leo?
Wenzio walifanya uchunguzi wewe umefanya lini uchunguzi?
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Wee Kama biashara yako ya mchanga imekorogeka kaa kimya, usiyuletee umbea hapa !
 
Mleta mada kwa namna ulivyoandika ni dhahiri ripoti ya prof mruma imetia mchanga kitumbua chako, huku kulialia sio bure
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Wewe umejuaje kama mwalifu inakuibia?
 
Naona kwa uoga wako imebidi uje na ID mpya. Mruma kafanya uchunguzi kaja na majibu that is science bwana hakuna longolongo.
Majibu ambayo ni questionable.

Tuanze tu na jina la hayo mabaki. Kama jambo rahisi hivyo hawakulifanyia kazi wakatumia neno ambalo silo kabisa unadhani mangapi hawakua MAKINI nayo?
 
Huyu profesa ambaye ripoti yake ya Magumashi imeleta maswali mengi, amekuwa kwenye bodi ya wakurugenzi ya Mgodi wa mwadui lakini mgodi huu umekuwa unatuibia kabla hatujapata uhuru, na ukiangalia maamuzi wanayofanya kama bodi ni wa kinyonyaji ambapo serikali in share 25% . Na kama sijakosea yeye ni mojawapo wa member wa bodi wanaoiwakilisha serikali kwenye mgodi wa MWADUI, his credibility ni questionable...
Hamkosagi la kusema na mmeamua kumchafua MRUMA: HAMTAFANIKIWA
 
Back
Top Bottom