Kumbe naye ni shabiki wa hili chama

Kumbe naye ni shabiki wa hili chama

Mkuu mimi ndio "hakimu" wa hiyo kesi.....sijarogwa na mtu mkuu! Tumezingatia sheria na isitoshe upande wa serikali walishindwa kuthibitisha madai yao dhidi ya dogo Rama!
Asante mheshimiwa kwa kutenda haki. Ila sijui kama mlimfanyia Rama Medical check up kujua kama alikuwa na upungufu wa akili. Kama majibu yalikuwa chanya mlitakiwa kuhukumu mapema. Sasa amekaa mno gerezani na shule ndo hivyo tena, na mama maisha sijui ataanzia wapi. Tatizo kubwa waendesha mashtaka naona wameelemewa wanachelewa sana kufuatilia mambo ya msingi katika kesi za watu hasa wale ambao hawana kipato. I think you know what I mean!! Otherwise nakupongeza si haba wametoka.
 
huyo ni shabiki wa chelsea huoni uzi aliotinga,
hilo la chadema ni mtazamo wako wa lumumba au buguruni
 
Back
Top Bottom