View attachment 95326
Anaitwa Rama mla watu ila si jina halisi ,linatokana na tukio lililomtokea kwa kukutwa na kichwa na binadamu.
Jamani amebadilika sana, amekuwa kijana hasa. Ni bora ashabikie hata hiki chama maana hiki hakikuona kama alikuwa ana matatizo ya akili maana hata ukimwangalia tu unaona kuwa hakuwa naormal. Matokeo yake wamemweka gerezano over five years na kumlostisha kabisha. Pole Rama na Mungu akupiganie uwe na afya njema kimwili na kiakili.
alama hiyo hiyo ya V, ikiwa upande wa kiganja ukamface yeye anaeitoa yaweza badili maana na kuwa tusi ila kwa jinsi alivyoiwakilisha ni alama ya ushindi.
maoni yangu;
naamini ,Rama na Mama yake wameloga hakimu aliyehusika na kutoa hukumu,haiwezekani aachwe huru na ushahidi kama ule wa kichwa cha mtoto halafu kinadamu mbichi

Vidole viwili ni ishara ya amani,haimaanishi kuwa anayevionesha ni mwanachama wa chochote cha kisiasa. Kwa mfano,Karl Max,Albert Einstein.. Walikuwa wanapenda kutumia ishara hiyo. Nje ya box.

sawa" hakimu"ila nimeamini duniani haki ni ngumu kupatikana ,ila pekee mbinguniMkuu mimi ndio "hakimu" wa hiyo kesi.....sijarogwa na mtu mkuu! Tumezingatia sheria na isitoshe upande wa serikali walishindwa kuthibitisha madai yao dhidi ya dogo Rama!
hapo kidogo haki imetendeka kwa sababu fuvu walilokutwa nalo polisi ni la mtu aliyekufa muda mrefu na walichokuwa wanafanya polisi si kuua bali kumbikia mtu kesi ya kukutwa na fuvu, adhabu yao kwa sehemu ipo sawa lakini si kama kesi ya RamaWale polisi waliokamatwa na kichwa cha binadamu morogoro wakitaka kumbambikia kesi mfanyabiashara nao walimroga IGP, mbona wamefukuzwa tu kazi bila kushtakiwa?
Vidole viwili ni ishara ya amani,haimaanishi kuwa anayevionesha ni mwanachama wa chochote cha kisiasa. Kwa mfano,Karl Max,Albert Einstein.. Walikuwa wanapenda kutumia ishara hiyo. Nje ya box.
Hiyo smile yake na huyo afande hapo kushoto, nahisi wana uhusiano.View attachment 95326