Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

Wazalendo msiogope najuwa mtapokelewa vizuri jiji la mwanza bado huku dar ndioitakuwa funga kazi act ndio habari ya mtz tunasubiri picha za leo ukitoka hapo nendeni kule kwetu kigoma wanawasubiri kwa hamu kubwa sana viva act.
 
Mimi najitolea kusafirisha magari na mizigo yoyote ya ACT bure kutoka sehemu yoyote duniani kwenda bongo...
Kwa sababu unajua hawatakuwa na uwezo wa kununua magari kabla hakijafa... Ila ninyi watanzania sijui huwa mnawaza nini pamoja na kuishi Kote nje ya nchi lakini Mawazo yenu bado mgando hayapanuki. Jaribuni kubadilika mkue.
 
Umaskini na Ujinga ni kama karama vile; kama talanta.
Namaanisha kwa kuwa nchi inao wengi wenye talanta hizo basi Tanzania itaendelea kuwa hivi hivi ilivyo tena kwa miaka mingi ijayo!

Wengi wamebweteka wakifikiri ukombozi wa pili utaletwa na utitiri wa vyama vya siasa vinavyopingana vyenyewe bila kushughulikia matatizo ya msingi ya nchi hii.

Nimeamini. Tanzania ni nchi yenye kila kitu isipokuwa wananchi wenye uelewa na uzalendo!
 
Hiki chama kimekuwa mwiba kwa Chadema sijui kwa nini.
Mkuu Ritz
Hiki chama lazima kiwe mwiba chadema; watu wametoka jikoni wanajua siri ya mpishi baba mkwe anajitahidi kutafuta suluhu hajui aanzie wapi!
 
Last edited by a moderator:
Aliance for Change and Transparence (ACT) ndo habari mpya ya mjini yaja kwa kasi kuisambaratisha CHADEMA,na hivi punde kinaanza kupata uwakilishi ktk serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani kinapokonya majimbo kazaa ya Chadema.
 
I see!!!, Daaah!!!!
Nilikuwa sijaipata hii, wanaishi na mahawara wapi mkuu?, hao mahawara ni akina nani, na hao watoto waliowatelekeza ni akina nani?, na wamewatelekezaje, wameshindwa kwenda shule, hawana mavazi na malazi na wala hawapati chakula!??
Yaani hii ishu iko iko vipi mkuu!!??
Tembelea.www.ufipambowe.com utajua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom