Mimi najitolea kusafirisha magari na mizigo yoyote ya ACT bure kutoka sehemu yoyote duniani kwenda bongo...mkuu. ACT lazima imng'oe mwehu lema jimbo la arusha mjini. wana arusha wamechoka na siasa za vurugu
samson mwigamba ni kiongozi msomi na makini sana,,
Ukiona chama cha upinzani, kinakuwa mwiba kwa chama kingine cha upinzani, jua kinatumiwa na walioko madarakani.Hiki chama kimekuwa mwiba kwa Chadema sijui kwa nini.
hujielewi we msukule
Mimi najitolea kusafirisha magari na mizigo yoyote ya ACT bure kutoka sehemu yoyote duniani kwenda bongo...
hongera na wewe kwa kukikubali chama makini cha ACT misukule mmeanza kujielewa sasa
Mimi najitolea kusafirisha magari na mizigo yoyote ya ACT bure kutoka sehemu yoyote duniani kwenda bongo...
Unavyofuka kama umewashwa moto wa petrol..,! na bado, mtakoma na hao traitors..
Hawa CHADEMA ni wachawi au!?, wana misukule!!!???akili ya mwigamba na zaidi ya misukule yote ya chadema na viongozi wake
ulivyo mbumbumbu na vimba-macho unayaamini maneno,em onyesha kwa mfano hoja uliyowai kujenga.eti ACT chama makini,mara mkombozi wa watz,mmkomboe nani nyie takataka mliofagiwa Cdm na kumwagwa shimo ACT
ACT ni chama makini sana cha siasa. ni mkombozi wa watanzania
Hawa CHADEMA ni wachawi au!?, wana misukule!!!???
Sio CCM tena?
Ha ha!!, wameliwa!!!Naskia ulikusanya rambirambi za Mgimwa, vipi unasubiri matokeo ya ubunge ndiyo uamue kuwasilisha ama la..!
Ukiona chama cha upinzani, kinakuwa mwiba kwa chama kingine cha upinzani, jua kinatumiwa na walioko madarakani.