Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

CCJ na ADC walifia Mwanza.Wasaliti wote MAKABURI yao yako Huko.
 
Mwigamba ni mwanamageuzi wa ukweli.Heri ya hicho alichokifanya,kuliko kwenda kujisalimisha Lumumba.hakuwa na namna na ninaamini baunsa Lema siku zake zinahesabika Arusha mjini.

Mking'oa Lema Arusha 2015 naacha siasa.
 
sina ushabiki wa vyama vya siasa ila chama kinachoanzisha ili kukipinga CHADEMA,ujue kinaishabikia chama kilichopo madarakani.
 
Hiki chama kimekuwa mwiba kwa Chadema sijui kwa nini.

Hahahaha sawa sawa mkuu tena mchongoma. Watu wameshachoka na Siasa za vurugu afu kumbe wao wanazunguka nyuma wanaenda kuchukua hela wauze jimbo.

Mungu awalaani maana Damu za watu zinawalilia.
 
Mking'oa Lema Arusha 2015 naacha siasa.

Kwa wavuta Bange km yeye wale wa sombetini hasa madereva Bodaboda, labda nikuulize cha maana amefanya nn Arusha zaidi ya vurugu si bora angebaki Felix Mrema tu?
 
Ccj wameshindwa je mtaweza mziki wa chadema????? Huoni cuf imepotezwa imebaki ccm pekee ????.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom