Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

Yan hapa utajua ccm ni majinga sana, badala ya kusifia chama chao ndo kimekuwa mwiba kwa cdm na mpinzin sasa yanakisifia ACT wapi na wapi, akili za kuambiwa changanya na zako, haijapta kutokea chama dume kama cdm kwenye historia ya siasa tz.
 
ndio. wanaishi na mahawara sasa hivi
I see!!!, Daaah!!!!
Nilikuwa sijaipata hii, wanaishi na mahawara wapi mkuu?, hao mahawara ni akina nani, na hao watoto waliowatelekeza ni akina nani?, na wamewatelekezaje, wameshindwa kwenda shule, hawana mavazi na malazi na wala hawapati chakula!??
Yaani hii ishu iko iko vipi mkuu!!??
 
Yan hapa utajua ccm ni majinga sana, badala ya kusifia chama chao ndo kimekuwa mwiba kwa cdm na mpinzin sasa yanakisifia ACT wapi na wapi, akili za kuambiwa changanya na zako, haijapta kutokea chama dume kama cdm kwenye historia ya siasa tz.
Mkuu, hii mi CCM huwa inaniachaga hoi, sasa hivi wanafanya kazi ya kuwathibitishia watanzania kuwa ATC ni tawi lao..
 
Watu wameitisha mkutano wakueneza na kutangaza sera zao nyinyi kinawauma ya nn. Hivi sasa bado akujatokeya tukio kwa hiyo hamuwezi kuwa na sera wazee wa mtakio nyambafu
 
Mwigamba ameshindwa kutafutiwa kazi na MM kama alivyoahidiawa,anazunguka na laptop ya ACT iliyochakaa,ofisi yake ni chini ya mti pale ofisi ya RC ARUSHA
 
Wewe mwenyewe ni mzigo hujiwezi,unategemea KUFA KUFAANA.
Mkuu nimecheka kwa sauti sana, eti KUFA KUFAANA.
Kuna jamaa huku mtaani kwetu naye anapigaga dili kama za Chris, ukitokea msiba huwa ndio anajipa jukumu la kuchangisha, siku hiyo lazima alewe, janja yake yeye, unakuta amekusanya 30000 haafu analeta 5000 au badala ya kuandika 15000 yeye anaandika 1500.

Huyu jamaa ni nuksi sana..
 
Mtaipata tulitoka cdm na kutuita wasaliti anzisheni chama chenu ss kimehanza kuwashika pabaya na bado tutawashika viva act viva
 
ACT ndio chama kikuu cha upinzani mwaka 2015.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom