MsakaGamba
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 392
- 141
mwigamba mnasema anaakili mbona akushtaki kua chadema walimnawa bada yakujua nimamluki au kazoea au alirizika nalaza alizo pata kutoka kwa vijana wanao jua umuimu wa maisha yao
Jambo wakuu, jioni hii hapa Mwanza tumeshudia matangazo mitaani ya mwaliko wa mkutano wa chama cha ACT kesho ktk viwanja vya shule ya msingi mbugani miongoni mwa wageni wakitaifa ni pamoja na katibu mkuu taifa Samsoni Mwigamba kwa mujibu wa matangazo
sio Samson Mwigamba tena,ni Salum Mwigamba,si unajua mlengo wa ACT?
mkuu nadhani huu ni mda wa kuwasiliana na mashekhe kuhakikisha mkutano unajaa watu, kina Matata, Chagulani waanze sasa kusomba watu kutoa interior, time is up
Natamani Samsoni Mwenyegamba angeanzia mikutano Arusha vile.
kweli chadema katoliki mnajisahau sana,chama kinaongozwa na padri then mnakuja kusema act chama cha kidini!
kweli chadema katoliki mnajisahau sana,chama kinaongozwa na padri then mnakuja kusema act chama cha kidini!
kishindo cha ACT.leo kitaitingisha nchi
Una maana hao wananchi wenyewe ndo hawa hapa chini. abakorakamo betlehem Boko haram Dotto C. Rangimoto na Waoga na Wasaliti wote sio ?
wana mwanza wanausubiri kwa hamu mkutano wa chama makini cha ACT.
Cha waoga na wasaliti.
Nimemalizia
mashekhe watatangaza misikitini saa saba watu watajaa kwenye mkutano usijaliunanichekesha sana, vipi chadema nasikia mmewasomba wachaga wa moshi na arusha mpaka kalenga , hivi kanda nyingine hakuna chadema mpaka mkawachukue wachaga wa kaskazini?
ACT ni chama makini sana
Allience for Cowards Tanzania ha ha ha wapi CCJ?
mashekhe watatangaza misikitini saa saba watu watajaa kwenye mkutano usijali
Makini kwa Usaliti na uoga
Hata mie nime wavulia kofia.
Vp lakin, Ma Shekh washaanza kuhamasisha watu.
Mwigamba kasilimu now anaitwa Salum Mwigamba