Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

Kumbe Mwigamba ndie Katibu mkuu (taifa) ACT!

hivi wew unawafahamu wanaarusha ama unawasaikia tu? hawana njaa kama yako ya kuleta umbea kila siku humu ndani kwa ajili ya kupata buku 7?

  • :thinking:
 
Makini kwa Usaliti na uoga
Hata mie nime wavulia kofia.
Vp lakin, Ma Shekh washaanza kuhamasisha watu.
Mwigamba kasilimu now anaitwa Salum Mwigamba

ndio amesilimu. mapadri na wachungaji wa mwanza wameshaanza kuhamasisha watu.
 
kama mapadri na wachungaji wanavyotangaza kanisani mikutano ya chadema

Sahihi kabisa mkuu! Hawa chagadema wajinga sana, kumbe wana ajenda ya siri ya ukristo! Yaani mtu akihama basi wanadai kasilimu! Hii saccos ni ya kuogopwa zaidi ya homa ya ini.
 
Safi sana na hongera Mwigamba,

Hii itamuuma sana mini K

Mini kabaang! Ni mpuuzi sana yule! Kila mikutano anayohutubia hajawahi kuacha neno, "polisi" maana anajijua unyang'anyi wake wa wizi wa magari na walichomfanya. Ana uchungu sana na polisi! Eti awe waziri! Ha ha ha! Sijui wa Mini K!?
 
Sahihi kabisa mkuu! Hawa chagadema wajinga sana, kumbe wana ajenda ya siri ya ukristo! Yaani mtu akihama basi wanadai kasilimu! Hii saccos ni ya kuogopwa zaidi ya homa ya ini.

eti wanataka kulazimisha samson mwigamba awe muislamu.. kwa sababu chagadema hakuna waislamu. chagadema ni mataahira sana.
 
Safi sana na hongera Mwigamba,

Hii itamuuma sana mini K

Nimeona id yako hisia za huruma zikanijia niko njia panda nakumbuka juu ya kuliwa kwa fedha ila sikumbuki zilikuwa kwa ajili ya nini?

Naomba msaada unikumbushe Zilikuwa za nini?
 
Put a question mark to any political party in support of CCM members! Hayo yote matawi yao isipokuwa Chadema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom